๐ฉ๐ฌ๐๐ข ๐ฉ๐ฌ๐ ๐๐๐ฆ๐๐ ๐๐ ๐ช๐๐ก๐๐ก๐๐๐ ๐ช๐ ๐ง๐๐ก๐ญ๐๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๐๐๐งต
Je, Huwa Unapata Shida Kutambua Vyeo Mbalimbali vya Wanajeshi wa JWTZ? Uzi Huu Utakupa Majibu.
Shuka Na Uzi ๐๐
Nilipochaguliwa kuwa Mbunge mara ya kwanza mwaka 2005 nilipata Wazee 3 kama walezi wangu Bungeni kwa kujitolea wao. Mzee William Shelukindo alinifundisha namna nzuri ya kuandika maswali ya Bungeni. Mzee Jackson Makweta na Prof Philemon Sarungi walikuwa wakinichukua kwenda kunywa chai/kahawa mara kwa mara kuchambua nilichozungumza bungeni na kunionyesha maeneo napaswa kuboresha. Miaka 5 ya mwanzo Bungeni nilijengwa na kupewa ujasiri pamoja na watu wengine, wazee hawa. Kupitia malezi hayo ya Mzee Sarungi ndipo nilikutana na binti yake @MariaSTsehai kwa mara ya kwanza katika viunga vya Bunge mwaka 2006. Mzee Sarungi aliendelea kuwa Mzee wangu kwa muda mrefu akinipa nasaha katika vipindi mbalimbali vya maisha yangu ya Siasa. Ni Mzee mwenye historia kubwa ya namna ya kusoma kwake, kuwa daktari, diwani, mkuu wa mkoa, Waziri na Mbunge wa kawaida. Akiwa Waziri wa Ulinzi Jenerali Mboma alikuwa amemaliza muda wake na uteuzi wa CDF mpya ulipaswa kufanyika. Hii ni moja ya simulizi nilikuwa napenda arudie mara kwa mara kwangu iliyonifunza nafasi ya Mawaziri wa Ulinzi katika mchakato wa kumpata Mkuu wa Majeshi. Hatimaye Jenerali Waitara aliteuliwa na Prof Sarungi ndiye aliyemfuata nyumbani kwake kumpeleka ikulu kwa Rais Mkapa kuelezwa uteuzi huo. Mzee Sarungi alikuwa kila akinisimulia hili anacheka sana. Ni simulizi nzuri ya 'siasa za uteuzi' kwenye majeshi.
Mzee Sarungi ametangulia mbele ya haki. Mzee mwema sana. Mzalendo. Mlezi.
Salaam zangu za rambirambi kwa ukoo wa Sarungi, watoto wote, ndugu jamaa na marafiki.
Hamba Kahle Tata
Uhuru: I saw some people the other day crying that Trump has removed funding. It is not your govt. nor your country. He has no reason to give you anything. This is a wake-up call for you.
#Mchipuko
Ahsante Sana kwa kuchati nami. Chati yako ni ya thamani Sana kwa maendeleo na ustawi wa jamii.
Ombi langu lingine kwako ni ushirikiano kwenye kutokomeza ukatili wa kijinsia na kwa watoto unaotokea kwenye familia kwa 60%. Tuwafanye watoto rafiki zetu Ili watueleze tusiyoyajua. Tuelimishe wengine wakiona ukatili au dalili, watoe taarifa ofisi za serikali karibu nao, Dawati la Jinsia Polisi au wapige simu za dharura wakianza na 116 pia zingine tume Pin ๐ Twitter na Insta na mitandao mingine. Wakihitaji ushirikiano wangu kama Waziri wa sms namba yangu 0765345777 cc 0734124191.
Pamoja tunaweza kutokomeza ukatili wa kijinsia na kwa watoto. ๐ค
TAARIFA KWA JAMII;
Mahsusi kwa wenye moyo wa upendo wa kulea watoto Malezi ya Kambo na baadae Kumuasili awe wake kisheria.
UTARATIBU;
1. Maombi huwasilishwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri.
2. Afisa Ustawi wa Jamii humtembelea mwombaji na kufanya tathmini.
3. Taarifa huwasilishwa kwa Kamishna wa Ustawi wa Jamii Wizarani.
4. Iwapo hakuna hoja pingamizi, kibali cha mwombaji kumtambua mtoto hutolewa.
5. Afisa Ustawi wa Jamii huendelea kufanya ufuatiliaji wa maendeleo ya familia iliyomtambua mtoto na kupewa wamlee malezi ya kambo.
6. Taarifa ya maendeleo ya malezi ya kambo baada ya mathalani miezi sita hivi huwasilishwa tena kwa Kamishna, kwa ajili ya kuthibitisha kuwa maendeleo ya malezi ya kambo ni mazuri, hakuna changamoto hiyo, kibali cha kwenda mahakamani kuomba ridhaa ya Kuasili mtoto huyo kitolewe.
Tafadhali tuelimishe wengine, maana wengi wanapenda kufanya malezi ya kambo na kuasili ila hawana taarifa za utaratibu.
Iwapo kuna changamoto au hitaji la ufafanuzi, namba za simu kituo cha wizara: kupiga 0734986503/ 0262160 250
Kupiga na kuandika ujumbe 0774112233/ 0769608130/ 0766400168.
Iwapo kuna atakayehitaji rufaa kwa Waziri kwa kuokoa muda, aandike ujumbe na atume kwenye na. 0765345777 nakala 0734124191 kisha, nitamuongoza, kumshauri au kutatua changamoto yake kulingana na ilivyo.
Ulimwengu wa kidigitali ni chachu kwa maendeleo na ustawi wa jamii ๐น๐ฟ
Tunawajali Wateja wetu, ๐
Karibuni, mweleze habari hii na mwingine. ๐๐ฝ
๐Babati
Hapa ni Babati, Mkoa wa Manyara
Huu ni Uzinduzi wa Nyumba ya Mfanyabiashara na mmiliki wa kiwanda cha pombe kali inayoitwa Tanzanite Mr. David Damiani Mulokozi
Top 1000 universities ranking:
1. ๐บ๐ธ Harvard
2. ๐บ๐ธ MIT
3. ๐บ๐ธ Stanford
4. ๐บ๐ธ Berkeley
5. ๐ฌ๐ง Oxford
6. ๐บ๐ธ Washington Seattle
7. ๐บ๐ธ Columbia University
8. ๐ฌ๐ง Cambridge
9. ๐บ๐ธ Caltech
10. ๐บ๐ธ John Hopkins
.
11. ๐บ๐ธ Yale University
12. ๐ฌ๐ง UCL
14. ๐บ๐ธ UCLA
18. ๐จ๐ฆ University of Toronto
21. ๐บ๐ธ Cornell
23. ๐จ๐ณ Tsinghua University
26. ๐ธ๐ฌ National University of Singapore
27. ๐ฆ๐บ University of Melbourne
28. ๐ฆ๐บ University of Sydney
29. ๐จ๐ญ ETH Zรผrich
30. ๐ธ๐ฌ Nanyang Tech University
35. ๐จ๐ฆ University of British Columbia
39. ๐จ๐ณ Peking University
40. ๐ณ๐ฑ University of Amsterdam
42. ๐ฉ๐ฐ University of Copenhagen
44. ๐ณ๐ฑ Utrecht University
47. ๐ฉ๐ช University of Munich
48. ๐ซ๐ท Sorbonne
50. ๐ง๐ช KU Leuven
51. ๐ธ๐ช Karolinska Institutet
53. ๐ญ๐ฐ Chinese University of Hong Kong
65. ๐ธ๐ฆ King Abdulaziz University
81. ๐ฏ๐ต University of Tokyo
86. ๐ช๐ธ University of Barcelona
89. ๐ณ๐ด University of Oslo
99. ๐ซ๐ฎ University of Helsinki
115. ๐ฎ๐น University of Padua
120. ๐ง๐ท Universidade de Sรฃo Paulo
122. ๐ฎ๐น University of Bologna
123. ๐ณ๐ฟ University of Auckland
125. ๐ฟ๐ฆ University of Cape Town
127. ๐ธ๐ช Uppsala University
129. ๐ฐ๐ท Seoul National University
134. ๐ฎ๐ฑ Weizmann Institute of Science
173. ๐น๐ท Cankaya University
202. ๐ต๐น Universidade de Lisboa
206. ๐ฆ๐น Medical University of Vienna
215. ๐ฎ๐ช Trinity College Dublin
223. ๐ป๐ณ Ton Duc Thang
226. ๐จ๐ฟ Charles University Prague
250. ๐ฌ๐ท National & Kapodistrian University
256. ๐ช๐ช University of Tartu
329. ๏ฟฝ๏ฟฝ๐ท University of Tehran
339. ๐ต๐ฑ Jagiellonian University
349. ๐ณ๐ฌ University of Ibadan
335. ๐ท๐บ Moscow State University
363. ๐ช๐ฌ Cairo University
368. ๐ญ๐บ Eotvos Lorand University
405. ๐ฒ๐ฝ Universidad Nacional Autonoma de Mรฉxico
426. ๐ฆ๐ท University of Buenos Aires
441. ๐ต๐ฐ CUI
452. ๐ฎ๐ณ TIFR
472. ๐ฑ๐ง American University of Beirut
478. ๐ต๐ฐ Aga Khan University
493. ๐ช๐น Mekelle University
512. ๐น๐ญ Mahidol University
551. ๐ฎ๐ณ IISC Bangalore
564. ๐ฆ๐ช University of Sharjah
598. ๐จ๐ด University of the Andes Colombia
717. ๐ท๐ด Babes Bolyai University
725. ๐ง๐พ Belarusian State University
725. ๐ฎ๐ณ IIT Gandhinagar
826. ๐ฆ๐ฒ Yerevan Physics Institute
948. ๐ต๐ช Universidad Peruana Cayetano Heredia
970. ๐ฎ๐ฉ University of Indonesia
977. ๐ง๐ฉ University of Dhaka
1000. ๐ฎ๐ณ Thapar Institute of Engineering & Technology
*US News & World Report, Best Global Universities rankings 2022-2023