@SISININGUMI huyu jamaa kila pambano analo cheza anaonekana kupanda kiwango najiuliza round hiii atakuja na uwezo Gani..... nasubiri day ifike tuangalie michezo..... round hii uwanja wa ngumi wameusogeza hapo kibarazani UBUNGO ๐๐๐๐๐๐
@SISININGUMI toto zuri alafu mikono ya Sheria ...... hapa tz Amna bondina anae weza kumpigia hii pisi .... tumuangalie jiicho la mbele atuletee mikanda aisee nimempitisha %100๐๐ฟโโ๏ธ