@spana_Konki Diddy didied his did before he decides to be didied again by a lecturer as a seek for revange to the guy who didied his girl friend, He is here to confess the courtesy of mr Diddy .
@EsirEid Binadamu bwana, nikikumbuka enzi za jiwe alivyokuwa ana pigwa makombora na upinzani, ila leo ndo wanasema alikuwa shujaa, sishangai akija mwingine watasema bora samia.
Age 25-35 can be tough,
You're dealing with your parents getting older, having fewer friends, career stress and self-doubt.
Your family expects you to man up.
You start losing interest in things that used to be exciting.
Stay strong, youโve got this.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 270
Mhe. Lissu anaendelea kutoa utetezi wake.
Anasema baada ya Magufuli na Samia kuingia 2015 Kazi waliyoifanya ndo imetuleta leo hapa mpaka nimepewa kesi ya Uhaini.
Sikusema Ijumaa kuwa 2020 nilirudi kutoka uhamishoni kutoka Ubelgiji kuja kumkabili Magufuli ni wazi sikuchaguliwa lakini ningechaguliwa, nisingekuwa hapa.
Baada ya matokeo ya Uchaguzi Tume itapaswa kuchapisha matokeo ya jimbo kwa jimbo.
Ukiangalia chaguzi za kabla ya mwaka 2020 Tume huwa zina gazette matokeo yote jimbo kwa jimbo na Kata kwa kata nchi nzima.
Ya Ubunge Jimbo kwa Jimbo nchi nzima lakini ya Urais huwezi kuona kokote kule.
The results were never gazetted na sheria inasema baada ya miezi 6 yatachomwa moto. Hatutakuja kujua Magufuli alipata kura ngapi? Kwanini? kwasababu Tume ni ya KiCCM.
Toka mwaka 1995 wagombea wa upinzani wameenguliwa kila mwaka.
Toka mwaka 1995 na uchaguzi wa 2020 ndo ulitia fora, Wabunge wa majimbo 28 walipita bila kupingwa, aliyeengua ni Mkurugenzi wa Uchaguzi ambae kwa sasa ni mbunge wa CCM.
2020 kwenye General Election ilikuwa ni mass disqualification walioenguliwa ubunge walikuwa 63 kati ya 244 tukapambana nao sana.
Madiwani 832 walienguliwa na kwa mara nyingine kukawa na mauaji sana.
Sasa Waheshimiwa Majaji ukisoma taarifa za watazamaji wa kimataifa walisema uchaguzi sio wa huru na haki na CCM inapendelewa. Uchaguzi ulikuwa na fujo na sisi huwa tunapigwa na Mapolisi na sio wanaCCM, watu wetu wanatekwa na Mapolisi sio wanaCCM.
Kwenye hotuba yangu ninaposema polisi wanatembea na vibegi mgomboni vimejaa kura. That is the truth of our heart, hakuna uongo.
Samia anasema tuliwapiga fix tukawaengua. Samia anasema hivyo kwenye ripoti.
Watazamaji wakasema bila mabadiliko ya Uchaguzi kutakuwa na maafa mwaka 2025. Ripoti ya watazamaji wa Umoja wa Afrika kuwa kuna haja ya kuwa na mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi.
CCM walisema Katiba haitaleta Chakula nyumbani sisi tukasema hapana tutapigania Katiba Mpya, wakamkamata Mbowe na kukaa jela miezi 8 kwa kesi ya uwongo ya Ugaidi na waendesha mashitaka ni hawa hawa.
Waliposema ajiteteee waka enter nolle hakujitetea tukashtukia yuko Ikulu. Nasikia jana AMEIBUKIA BWAWA LA MWALIMU NYERERE, MWENYEKITI WAKE YUKO JELA YEYE ANAIBUKIA HUKO YUKO NA MAMA.
Watu wanacheka kwa maumivu huku ndani.
Anasimama Wakili wa Serikali Ajuaye anasema Muda umeisha twende Mapumnziko tafadhali. Twende lisaa limoja.
Jaji sasa tukirudi utamaliza.
Mhe. Lissu hapana nafikiri tutaenda enda vizuri niachieni tu niende.
Kesi inaahirishwa baada ya lisaa tutarudi.
Naomba Repost yako.
@Dr_ShirimaElite Ile dawa ambayo huwa unapakwa kwa matako before uchomwe sindano unajua inafanya kazi gani.?
And without kusoma hao kingdom monera madaktari wangekusaidiaje kutambua kuwa unaumwa UTI au Syphills?
No parent who wants to have an unemployed son, no woman who wants to marry an unemployed man, no son who wants an unemployed father, no sister who wants an unemployed brother. A man without money has no voice. Fix your finances before you try to fix the world.
@mreno255 Nguo viatu na mwiko wa fundi havibadiliki? alafu tilting angle ya mikono na kushika mwiko ni ile ile, Again kwani ata kama habadilishi nguo, kwanini......... Aaaah basi this is AI .