@godbless_lema Nadhani tafsiri ya mtu ipo kichwani Kwa mtu mwenyewe....na hii ndo sababu ya ongezeko la conflicts and misunderstandings.....Kwa uelewa wangu hapa naona ametaka kuilinda jamii zaidi na kufanya haya mambo yawe sensitive zaidi....kuliko sasa vinaonekana kama ni vitu vya kawaida
@godbless_lema Ko Mama Samia ndo alimpiga shot korodani!?au yeye anahusikaje na mateso yake...!? Hata kama kateswa kuna taratibu za kufata kupata haki....mnahukumu tu nyie sababu ni CCM acheni huo ujinga
@kigogo2014 Jaman.....huyu ni kijana anaetafuta kusimama Peke yake kiuchumi....Nina Imani anajua anachokifanya...so Twitter observers can you try to be atlst positive for him......
@Michael_Goodwil Jogwe hata asipopiga campaign atachaguliwa tu,Yan mbeya ni Chadema dam dam na washakunywa kiapo Chao, hapo hata wangemsimamisha tulia na jiwe wangechagua jiwe.... Abhando bhakatele.. #mbeyamycity
@HKigwangalla Even if you will tweet in Bangladesh lge, we'll still criticize you Sir!...... symbolism is the best language...use that and you will leave people in chaos!
Usiombe kuwa na marafiki wa aina hii, anaye jiona yeye mzuri kuliko wote, au anaye amini yeye kupendeza yeye ndio mwenyewe, au yule mjuaji sanaa, kwa sababu kila wakati atahitaji kukushusha ili aendelee kuwa namba moja katika sifa anayo amini yeye ndio bora kuliko wanao mzunguka