@MlelwaGentle@McinikaWaLamar@chapo255 Wana uwezo wa kuamua mengi tu...bajeti ya serikali ipo mikononi mwao wanaweza kuikataa mpaka serikali iweke vile vitu wananchi wanataka....ila kwakuwa wamejipa kazi isiyo yao basi maamuzi yao kikatiba yamepokwa pia
Licha ya kuwa mwana CCM, wakili Wasongo anasema Lissu sio Muhaini. Anasisitiza kuwa kusema No Reforms No Election, hakuwezi kuwa Uhaini. Anasisitiza kuwa serikali iache ugomvi na vyama vya siasa.
#Repost_1000 tafadhari
Kwa sababu ya hiki kinachoitwa MUUNGANO Tanganyika tumepata mtawala Mzanzibari anayeuza Bandari na Misitu yetu, Anaye TEKA, KUTESA na KUUWA ndugu zetu, Tumekuwa na vyombo vya Dola vinavyoteka na KUFIRA wakosoaji wa Serikali yake, Tulilie na Kupigania UHURU wa Tanganyika yetu...
#BreakingNews
Watanzania kuandamana mtandaoni, maandamano kuongozwa X and Instagram, huku @TitoMagoti akiongoza X na @Sativa255 kuongoza upande wa Instagram, maandamano haya yanakuja mara baada ya CHADEMA kufungiwa kufanya shughuli zake na Jaji mmoja Tapeli!
#NoReformsNoElection
Napendekeza
1. Tuwe na Umoja, tuweze kufanya mambo makubwa pamoja katika safari yetu yakuikomboa Tanzania.
2. Tuwe na uongozi wetu.
3. @TitoMagoti awe Mwenyekiti wa mpito wakati wa uundaji mpaka uchaguzi wa uongozi!
REPOST 1000+ mmeridhia <1000 mmekataa!
#NoReformsNoElection