Bwana @shaffihdauda1 anakuambia Mukombozi alimtukana Ateba, wadau wakamuuliza wewe ndio ulikuwa refa? Maana refa alikuwa mbali na tukio. Baada ya mpira kapteni wa Namungo anasema refa anadai Mukombozi alimpiga vibaya sana Ateba. ๐Haya kazi kwenu wadau mnaotetea mpira wetu ๐๐ผ๐