Baraza la Uongozi litakutana mapema ili kutoa mwelekeo wa nini kinapaswa kufanyika. Tunatoa mwito kwa mamlaka zinazohusika kushughulikia jambo hili bila kuathiri haki za bindamu na sheria za nchi.
@TanganyikaLaw tunafuatilia kwa karibu kinachoendelea Ngorongoro, hasa vurugu zinazosababishwa na uwekaji wa mipaka katika maeneo ya Sare na Loliondo na kusababisha kifo cha Askari na majeruhi.
Msikilize mh. @Prof_E_Hoseah hataki sifa kwa kila anachokifanya, ni mtendaji zaidi. Ikumbukwe TLS sio chama cha Siasa.
#HoseahTena2022 โ๏ธ https://t.co/oloDpZniiY
#Updates Nimewasiliana na Jeshi la Polisi nikaelezwa kuwa wakili @PMadeleka atapewa haki yake ya dhamana wakati ambapo taratibu nyingine zinaendelea. Tunaendelea kufuatilia, tutawajulisha.