Executive Secretary @NatcomUnescoTz,
Chairperson Traditional and Alternative Health Practice Council,
Chief Research Scientist - Medicinal Phytochemistry NIMR
Today is the International Day of Remembrance of the Victims of Slavery and the Transatlantic Slave Trade.
We stand against this tragic history and honor millions of Africans who suffered and died at the hands of a brutal system of oppression.
#SlaveTrade#StopRacism#Africa
13 February is #WorldRadioDay! Reaching more people globally than any other medium, radio empowers diverse voices, fosters meaningful dialogues and provides life-saving information. Here’s everything you need to know: https://t.co/e2O67ybdvB 📻✨
Mzazi na Mlezi na Kila mmoja wetu afuatilie na kushiriki Kampeni hii ili apate elimu itakayosaidia Ili kwa pamoja, tuwalinde watoto wetu dhidi ya ukatili wa mitandaoni. 🤝🇹🇿
El Consejo Ejecutivo de @UNESCO_es eligió a @VeraForReform como su Presidenta para los próximos 2 años. Ella es la persona más conocedora de la Organización pero sobre todo, una experimentada diplomática comprometida con los valores multilaterales. Felicidades querida Vera!
WADAU WA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA WATAKIWA KUSAJILI DAWA ILI ZITUMIKE KATIKA MFUMO RASMI WA HOSPITALI
Na WAF - Dodoma.
Serikali imewataka waganga na wadau wa tiba Asili nchini kusajili dawa wanazotengeneza ili ziingizwe katika mfumo wa hospitali na kuongeza masoko ya huduma jumuishi za Afya kwa kufuata mfumo rasmi wa muongozo wa dawa.
Wito huo umetolewa leo Januari 4, 2024 na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Tiba asili Dkt. Marko Hingi wakati alipomuwakilisha Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu katika kikao cha waganga pamoja na wakuu vyama vya tiba asili na tiba mbadala Jijini Dodoma.
Katika kuendelea kuimarisha kada ya tiba asili amesema Serikali imeingiza baadhi ya dawa za tiba asili katika huduma jumuishi za Afya kwa kufuata mfumo rasmi wa muongozo wa dawa.
“Mpaka sasa Hospitali saba nchini zimeanza kutumia dawa za tiba asili na mbadala kama Huduma jumuishi za Afya kusaidia wananchi katika kupona magonjwa mbali mbali”. Amesema Dkt. Hingi.
Dkt. Hingi amesema kuwa ujenzi wa kiwanda cha NIMR Mabibo umefikia asilimia 98 na unatarajia kukamilika mapema mwaka huu.
“Kiwanda hicho kitakuwa ni jukwaa la uzalishaji wa dawa za tiba asili na mbadala hapa nchini na kusambazwa katika nchi za ukanda wa SADC“. Ameeleza.
Kwa Upande wake Mwenyekiti wa Baraza la Waganga wa Tiba Asili na Mbadala Prof. Hamisi Malebo amesema wana jukumu la kuondosha na kutibu magonjwa mbalimbali katika jamii, kuleta amani na kuisaidia Serikali kuifikia jamii.
Nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa Kidato cha Nne mlioanza mtihani wenu (CSEE) leo, katika shule za sekondari 5,371 nchi nzima. Mnaelekea mwisho wa hatua nyingine muhimu katika safari yenu ya elimu na maisha, baada ya kujiandaa kwa miaka minne.
Mwenyezi Mungu awape utulivu, mkaifanye vyema mitihani yenu na kupata matokeo mazuri. Serikali tayari imeandaa mazingira bora ya kuwapokea katika hatua inayofuata, ikiwemo kufuta ada kwa elimu ya Kidato cha Tano na Sita.
Kheri ya Sikukuu ya Mawlid al-Nabi kwenu nyote. Siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) ikawe pia siku ya tafakari na juhudi, kuendeleza nia yetu ya kila wakati ya kukusudia kuzaliwa upya kwenye matendo yetu.
Iwe tafakari na bidii ya kuendelea kuzaliwa upya katika kuboresha mahusiano yetu na Mwenyezi Mungu, mahusiano yetu na binadamu wenzetu, na majukumu yetu kwa wenzetu, nchi yetu na Muumba wetu.
Matokeo ya nia na juhudi katika mambo haya muhimu kwa kila mmoja wetu, yataendelea kutupa nchi yenye kupiga hatua kimaendeleo, nchi salama, yenye uadilifu, yenye amani, umoja na mshikamano.
#MaulidNabiMuhammadSAW
Happening now⬇️
Press briefing by the Minister for Community Development, Gender, Women and Special Groups, Dr. Dorothy Gwajuma on NGO digital mapping to help reach vulnerable groups with #health care services with support from @WHO_Tanzania & @CanadaDev.
As we advocate for the safety of journalists in Tanzania, we're pleased to participate in the upcoming Regional Learning and Knowledge Sharing conference on journalist safety organized by @mediacounciltz to be held on 29th September at Kibo Hall African Court in Arusha.
Hongereni sana Fadhili & Ibrahim (The Ramadhani Brothers) kwa hatua kubwa katika mashindano ya AGT 2023. Safari yenu ni alama ya Utanzania (bidii, nidhamu, kujituma, kujiamini na nia ya kufanya mambo makubwa). Mmeitangaza vyema nchi yetu. Mmelitendea vyema jina la Taifa letu.
Happy #WorldTourismDay!
Did you know? #WorldHeritage sites contribute to inclusion, growth, & development.
Discover our World Heritage Sustainable Tourism programme to find out how: https://t.co/L1ikyvFPtS
Katika kikao cha 54 cha Haki za Binadamu cha @UNGeneva, Switzerland.
Serikali yasisitiza msimamo wake kimataifa kuwa hakuna watu wa asili Tanzania. Makabila yote ni sawa mbele ya sheria. Hakuna kabila lenye Haki zaidi ya lingine.