Kigoma maeneo ya kibondo huko unalala zako fresh usiku unasikia mlango unafungwa unafunguliwa alafu pata za mlango zinalia wiwiwii ghafla unasikia juu ya paa la Nyumba zinamwagwa changalawe waaaaaaa, Ukiamka kutoka Nje hakuna kitu ukiingia ndani tu unasikia nyani wanacheka
TAPELI Namba Moja, MWAMPOSA Akitaka V8 Anaomba Achangiwe PESA Anunue Wewe Ukitaka V8 Anakwambia Akuombee Uipate Wewe Unampa Pesa Yeye Anakupa Maombi Wewe Ni NYUMBU. Hizi Dini Ni Biashara Kama Biashara Nyingine Tu Ukiruhusu AKILI Yako Itekwe Nahawa Matapeli Utakua Mbuzi Wa KAFARA
Mnajua Maajabu ya Ziwa Ikimba? Lipo mkoani Kagera ukifika wenyeji wanakwambia "Ikimba ita akaro usige akandi" Inasemekena ziwa ikimba halikuwai kuwepo zamani ila lilitokana na Bibi kukosea masharti ya chungu alichokuwa nacho ndani ya nyumba yake, Bibi kizee alikuwa na chungu 1/4)
Usichukulie poa.
Hapo unayemuona siyo huyu Boniyai wa leo.
Hiyo suruali upana wake ni maalum kwa kufungua mateke kama round kick ,Mae geri,Ushiro geri,Yoko geri na hiza geri.
Usiombe
Mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Elon Musk amekuwa Mtu wa kwanza katika historia duniani kufikisha thamani ya juu ya utajiri wa dola bilioni 400 za Kimarekani ( zaidi ya Trilioni 970 za Kitanzania) baada ya kuongezeka kwa utajiri wake kutokana na ushindi wa Rais mteule Donald Trump katika uchaguzi wa Marekani uliofanyika Novemba mwaka huu.
Ripoti zinaeleza kuwa Utajiri wa Musk kwa sasa ni mara mbili ya Mtu tajiri wa pili duniani ambaye ni Jeff Bezos mwenye utajiri unaokadiriwa kufikia dola bilioni 244 za Kimarekani (zaidi ya Trilioni 590 /- za Kitanzania) ambapo kwa mujibu wa Bloomberg utajiri wa Musk umeongezeka kutokana na kupanda kwa hisa za Kampuni yake ya Tesla na SpaceX.
Hisa za Tesla zimeongezeka kwa zaidi ya asilimia 60 tangu wakati wa uchaguzi wa Marekani huku kukiwa na matarajio kwamba Rais mteule, Donald Trump atafutilia mbali kanuni zinazoonekana kurudisha nyuma maslahi ya biashara za Musk na kumfanya aendelee kufanya vizuri zaidi kutokana na nafasi aliyopewa ya kusimamia Ufanisi wa Serikali ya Trump atakapoanza kazi Januari 2025.
Haya yanajiri ikiwa ni wiki chache tu zimepita tangu Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kutangaza kupokea maombi kutoka kwa Kampuni ya Starlink Satellite Tanzania Limited inayomilikiwa na Elon Musk kupitia Wanahisa wa Starlink Holdings Netherlands B.V na SpaceX Netherlands B.V kuomba leseni ya kitaifa ya miundombinu na leseni ya kitaifa ya Huduma ya mifumo tumizi kuendesha shughuli zao Nchini Tanzania. #MillardAyoUPDATES
Wauzaji wakubwa wa Magari Nchini Tanzania, wamebainisha aina kumi za Magari ambayo hadi leo December 13 2024 ndiyo yanayoongoza kwa kununuliwa Nchini Tanzania ambapo Subaru forester imeshika namba moja katika orodha hiyo ambayo siku za nyuma iliwahi kuongozwa na Toyota IST kwa muda mrefu.
https://t.co/tZyene0FAc Ractis
https://t.co/nH1Uv8ztoN Outlander
https://t.co/1oeXuEuvkX Premio
https://t.co/RNpauRTZ5k Noah
https://t.co/ddGgGYhxdp Vanguard
https://t.co/1UWIniGK0p Alphard
https://t.co/TjYtpCz0QR IST
3.Mazda CX-5
https://t.co/Xgj3B5jSJn Harrier
1. Subaru Forester
Gari namba ngapi ni gari lako pendwa kwa sasa ? #MillardAyoUPDATES
Shirika la ndege la taifa la Tanzania, Air Tanzania, limejumuishwa rasmi kwenye Orodha ya Usalama wa Anga ya Umoja wa Ulaya (EU Air Safety List), likiwa miongoni mwa mashirika yaliyopigwa marufuku kufanya safari za anga ndani ya mataifa ya Umoja wa Ulaya.
Uamuzi huu, uliotangazwa tarehe 13 Desemba 2024, umetokana na wasiwasi wa kiusalama uliobainishwa na Mamlaka ya Usalama wa Anga ya Umoja wa Ulaya (EASA).
Kwa mujibu wa taarifa ya Tume ya Ulaya, Air Tanzania haijakidhi viwango vya kimataifa vya usalama wa anga. Hali hiyo imepelekea mamlaka za Ulaya kukataa kutoa idhini ya Uendeshaji wa Shirika la Nchi ya Tatu (TCO).
“Uamuzi wa kuijumuisha Air Tanzania katika Orodha ya Usalama wa Anga ya EU unaonesha dhamira yetu isiyotetereka ya kuhakikisha viwango vya juu vya usalama kwa abiria Ulaya na duniani kote. Tunahimiza Air Tanzania kuchukua hatua za haraka na madhubuti ili kushughulikia masuala haya ya kiusalama. Tumetoa ofa ya msaada kwa mamlaka za Tanzania ili kuboresha usalama wa shirika hili na kufikia viwango vya kimataifa vya usalama wa anga,” amesema Kamishna wa Usafiri Endelevu wa Umoja wa Ulaya, Apostolos Tzitzikostas.
Uamuzi huu unaleta changamoto kubwa kwa sekta ya usafiri wa anga nchini Tanzania. Air Tanzania, kama shirika la taifa, limekuwa likihudumu kwa matumaini ya kukuza uchumi wa nchi kupitia usafiri wa anga. Kupigwa marufuku kuruka anga za Ulaya kunaweza kupunguza mapato ya shirika, kudhoofisha imani ya abiria, na kuathiri juhudi za nchi kufanikisha maendeleo ya kiuchumi kupitia usafiri wa kimataifa.
Hata hivyo, uamuzi huu pia unatoa nafasi kwa serikali na mamlaka za usafiri wa anga nchini kufanya mageuzi ya kina. Kurekebisha kasoro zilizobainishwa na EASA kunaweza kusaidia kuboresha huduma za Air Tanzania na kuiweka kwenye nafasi ya ushindani kimataifa.
Katika taarifa hiyo, EASA pia ilitangaza mafanikio ya Shirika la Ndege la Kimataifa la Pakistan (PIA), ambalo lilikuwa limepoteza idhini ya TCO mwaka 2020 kutokana na changamoto za usalama. Hata hivyo, baada ya kufanya mageuzi makubwa na kuboresha uwezo wa usimamizi wa usalama wa anga, PIA sasa limeondolewa kwenye vikwazo na linaruhusiwa tena kufanya safari Ulaya.
Kwa sasa, jumla ya mashirika 129 ya ndege yamepigwa marufuku kuruka katika anga za Umoja wa Ulaya (EU). Mashirika 100 ya ndege kutoka nchi 15 yamejumuishwa kwenye orodha hii kutokana na ukosefu wa usimamizi wa kutosha wa usalama kutoka kwa mamlaka za anga za nchi zao.
Mashirika 22 ya ndege ya Urusi yaliongezwa kwenye orodha baada ya anga za EU kufungwa rasmi kwa ndege za Urusi tarehe 27 Februari 2022, kufuatia uvamizi wa Ukraine. Mashirika saba yamejumuishwa kwenye orodha kutokana na wasiwasi mahususi wa kiusalama ambayo ni Air Tanzania (Tanzania), Air Zimbabwe (Zimbabwe), Avior Airlines (Venezuela), Blue Wing Airlines (Suriname), Iran Aseman Airlines (Iran), Fly Baghdad (Iraq) na Iraqi Airways (Iraq).
Mashirika mawili ya ndege, Iran Air (Iran) na Air Koryo (Korea Kaskazini), yanaruhusiwa kufanya safari za anga ndani ya EU, lakini kwa masharti maalum, yakiwa na aina mahususi za ndege zinazokubalika.
Tanzania na Colombia hazijaunganishwa na bahari moja kwa moja. Tanzania iko East Africa ambako kuna bahari ya Indi, wakati Colombia iko South America imepakana na bahari ya Atlantic (Caribbean Sea) na bahari ya Pacific.
Anyway Nyangumi kaona asitume nauli Maana Nyangumi wa kike walioko Tanzania wana tabia za mademu wa Tanzania Kula nauli 😂 @EsirEid
CHADEMA ni chama chenye mvuto katika jamii. Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA unajadiliwa na kufuatiliwa na makundi rika tofauti katika jamii. Hakika, tunakwenda kuwapa uchaguzi bora wa ushindani. Siyo chaguzi za MaCCM. Mwenyekiti anagombea na kivuli. Fomu moja kama hati ya kifo.
#UPDATES “Ushauri wangu hauna gharama lakini kuna kupunguziwa gharama, wangapi mmekunywa chai , chai sio lazima na msije mkasema Janabi amekataza kunywa chai, Breakfast maana yake kukatiza mlo sio unakula sana, mimi binafsi chochote nachokula wasaidizi wangu wanajua nakula saa 6, halafu usiku nakula saa2 usiku, kuna siku naanza kula saa8 mchana matunda halafu nakula saa12 mpaka kesho”, Prof.Mohamed Janabi, Mshauri wa Rais na mkurugenzi Hospitali ya Taifa Muhimbili. #EastAfricaTV