Music Doesn't ask how your day was it just fixes it, Post Malone Is Back.
Hii Album ninkali sana muziki kama huu ndiyo tulikuwa tunataka kwa Post Malone. Humu ndani Post kaonyesha kuwa Bado Anaweza fanya Rap.
9/10 August 26 🏆🔥
WWWWWWWW🐐
unaona kabisa daladala imejaa unapanda hivyo hivyo unakuja kusimama pembeni yangu unaniangalia usoni umenuna,
mi sina cha kukusaidia mzee wangu Mnazi Mmoja ni mbali halafu wazee wenzako wanakula mafao wanaendesha Vitz na Passo huko😁😁
Account yangu kubwa imehackiwa wanangu😭🙌
Huyu @iBoymox sio mimi, Nitoe rai kwa huyu mtu aliefungua account fake kufika tarehe 23/09/2026 uwe umebadilisha la sivyo sitaki kulaumiwa.