@munyamambogo Nununue Gari Milioni Mia Tatu kisha mapuuzi Mmoja alifunge cheni ya ELFU sabini na lisiende safari na nalipa Kodi Zoote si Ufala huoo , nalikata na Chuma Inaenda
@Ngattaboe99 Umurangi si Muntuu, Umurangi ni njoka njiruu ππ
Waulize warangi wakutafsirie kisha Ufute machozi na usonge Mbele kama Injili Maana umepona
@Kangaboy_ Vijana WA Subaru Sjg makende Yenu, mnaongeaa kama kuku wa kidelii njooni Road MUone kma LC mtaiona na Sio Kuona Tuu kama mtaiona Hata iyo Taa Yake Tuu
Acheni skanka na Ujinga WA kufananisha Vitu VYA hovyo Na Mnyama Lc300
Unapoanza kukua , unaanza kuelewa baba yako alikuwa tu mwanamume pia anayejaribu kadiri ya maarifa aliyokuwa nayo kupambana na maisha. Msamahe , kwani pia alikuwa akiishi maisha kwa mara ya kwanza.