@Sulphuric_aci17 Kwaiyo unataka yeye aingie akafunge?, mfano mechi ya Gaborone, Sele alikuwa anaondoka na goli 2 na assist. Umakini wake mwenyewe kajikosesha good record. Yanga wachezaji wote ukiwaweka wanakupatia matokeo bila kujari 1st eleven or benching players. Mawazo hayo kawape kunya fc.