Niko na neighbour hufanya hii kazi ya miti ya power saw. Nashangaa mbona Leo ameigurumisha akiwa kwa nyumba kumbe ni mimi alikuwa anataka kunipeleka sayuni. Thanks to my caretaker ndiye amemwambia sio mti imefunga pavement ni my morning borner.
Mimi pesa ikiingia nitabadilika,apo naye sitawadanganya. Infact,most of the things I do now,and entertain,is because of my peasantry. Pesa ikiniitikia kuna mambo sitawahi jaribu tena. Kwanza kupanda matatu! Eih! Bwana I have suffered in this public vehicles. Unajua hakuna kitu mbaya kama kukua mrefu,alafu kwa matatu ukae kando ya mtu mnono, mtu amekalia kiti yako three quarter na yake full, Can you imagine the sitting position I had to come up with not to fall off my seat? Pale Miguu lazima niweke kama mtu ako na hii ugonjwa inaitwa rickets! Akiamungu safari ya 25minutes unaskia nikama mnaenda garissa 8 hours
Na kamama kako tu hapo kanaskiza TikTok za I will not get married. Who will marry you Truphena? With this weight of a rhino? Gari inapiga corner namna hii ile quarter ilikua imebaki inameswo,nabaki nimekalia hewa kama jamaa wa Shaolin temple. Aki fat people! Mimi nikipata gari matatu naye sitawahi rudi. Ni heri niuse bibi yangu ndio nipate sa mafuta. I have suffad enough!