Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana, Gerald Mpango ambaye ni kaka yake Mhe. Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango. Pole kwa Kanisa, familia, Mhe. Makamu wa Rais, ndugu, jamaa & marafiki. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.
UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI BAN KI-MOON - WAZO WAANZA.
DAWASA inatekeleza mradi wa maji Ban Ki-moon Katika kata ya Wazo. Utekelezaji wa mradi huu utahusisha uchimbaji na ulazaji wa bomba za ukubwa wa inchi 2 na 3 kwa umbali wa kilomita 10.....