@ZongoZungu_ @sheby_yahya @Sisimizi3 @ngaso6_ngaso @Mapungo2020@kigogo2014@rwabudugu@Hb_cbe_2020 Nani kakuambia Bangi inasaidia kumkwamua kijana kiuchumi? Ile ni starehe kama starehe nyingine tu. Na Kila mtu ana starehe yake, cha muhimu kuheshimiana tu na Kila mtu kupita na zake.
@WemaKako Kilimo cha Bangi si kifanywe na jeshi tu. Ili isisje mtaani, iwe inaenda kuuzwa nje ya nchi. Vijana wa JKT wako kibao, na wengine wanalilia ajira.
Napinga kwa nguvu sana mambo ya kudekezana, Wewe ni mzawa, you are good enough hata ligi yetu haikufai, nenda nje huko kuna hela nyingi, mbona wakina Samatta, Msuva, Novatus wameweza.
Tujenge utamaduni wa watu ku earn respect.
Ila hoja ya talent devt naunga mkono, tuwe na vituo https://t.co/5d3AsGj59u
First Touch ni Kitu Muhimu Sana Sio Kwa Mchezaji tu, Hata Kwenye Maisha Yetu ya Kawaida. Mtu Unaweza Kupoteza/Kuharibu Mambo Mengi Ambayo Yangekua Mazuri Kwasababu tu, First Touch ilikua Hovyo, ๐๐ฟ