#uzi#vitukuntu
▶️Sisi sote tunafahamu kwamba filamu ni kazi ya ubunifu wa sanaa na asilimia kubwa ya matukio tunayoyaona kwenye filamu nyingi sio ya kweli. 👉🏾Filamu zinajumuisha maeneo tofauti na wahusika tofauti, na sio kila kitu kinachoonekana katika filamu hufanywa....
#UZI#UZI#UZI.
KUISHI NDANI YA LENGO NI TIBA YA KILA CHANGAMOTO.
>Arnold Schwarzenegger wakati anaanza harakati zake za uchezaji wa filamu alikutana na vikwazo vingi sana kwasababu, kwanza hakuwa mmarekani halisi kwa maana kuwa hakuzaliwa marekani.
SOMA KISA NA MKASA HUU: AUKIMBIA USISTA KISA DUDU.
-
Mwanamke mmoja nchini Nigeria, ambaye ni mkatoliki picha zake zimesambaa baada ya kuukacha usista na kuamua kuolewa na mwanaume ambae kazi yake ni polisi. ..
JE WAJUA 🤔
Pichani ni DOMINIC CALGI huyu alikuwa ni raia wa Marekani katika jiji la New York.
👉Namba ya gari yake ilikua ni 5V.17.32 jambo la kushangaza ni kuwa alikufa tarehe 17 mwezi wa 5 mwaka 1932 kama namba ya gari yake.
#MzeeWaVituAdimu
🚶🏼♂️🚶🏼♂���🚶🏼♂️
▶️Unayemuona hapo pichani anaitwa "Carlos Rodriguez". Unaweza ukajiuliza imekuwaje amekuwa na kichwa cha dizaini hiyo..??
👉🏾Unaweza ukajiuliza maswali mbalimbali kama;
🤔Je amezaliwa hivyo hivyo..??
🤔Je amedondokewa na kitu kizito..??
🤔Je amepata ajali..??
Twende sote 👇🏾👇🏾
KUTOKA MAKTABA 📚
Komla Agbeli Gbedemah alizaliwa mnamo 17 Juni 1913 Warri huko nchini Nigeria. Huyu jamaa alikuwa mwanasiasa wa Ghana na pia alikuwa waziri wa fedha nchini humo kipindi cha serikali ya Nkurumah maarufu alikua akijulikana kwa jina la "Afro Gbede".
KUTOKA MAKTABA 📚
Duniani kuna vitu vingi vya kufikirisha na kushangaza sana moja ya vitu hivyo ni kama unavyoona apo chini 👇.
👉Pichani ni watu ambao ni wawili tofauti ambao ni William West (Kushoto) na Will West (Kulia) hawa walikua watuhumiwa wa makosa tofautitofauti, 👇
▶️Binafsi siamini kwamba kuna uwepo wa Aliens (viumbe kutoka sayari zingine), lakini kuna huyu jamaa yeye ameamua kwenda mbali na kujaribu kuiga muonekano wa viumbe hivi vya kufikirika (Aliens). 🤔
👉🏾Hili ni moja kati ya jambo la kustaajabisha sana japo wapo watu wengi..👇🏾
#uzi
#Uzi🧵🧵
⚡Nudism/Nudist/Naturist 🔞
Huu ni mtindo wa maisha wa kukaa uchi, pia ni harakati za kitamaduni ambazo zinatetea na kutetea mtindo huo wa maisha (kukaa uchi)
Tushuke nao
TAHADHARI: Kutokana na uzi wenyewe baadhi ya picha zitakuwa za tofauti kidogo