@bosskitamb @Binamu01 Nadhani umewasikiliza kipindi hiki cha kina Marioo na Diamond then ukajaribu kufananisha ukaja na jibu kuwa hawakutakiwa kuwa mastar. Ila ungekuwa umewasikiliza kwa kipindi hiko usingeandika hiki.
@Binamu01 Watu kama wewe ndo wanaofanya tuonekane Gen Z wote hatuna akili๐๐๐kwa hii kauli na uwakika hata Mwana FA na AY wakikusikia watakuchapa bakora
Kwa miaka 10, #UwezoProgram imekuwa jukwaa la kuwawezesha vijana kielimu, kijamii, na kimaadiliโikiwaandaa kuwa viongozi na wachangiaji wakuu wa maendeleo katika jamii zao.
Tunawashukuru walimu, shule shiriki, washirika wetu na jamii nzima kwa kuifanya safari hii iwe na maana.
Katika Shirika la Great Hope, tunaamini kuwa vijana wana nguvu kubwa ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii, pindi tu majukwaa bora yatakapojengwa ili kuwawezesha kuelewa uwezo wao na kutoa kile bora zaidi walichonacho.
#uwezoprogram#chukuahatuaoneshauwezo
Leo tumefanikiwa kukutana na kufanya mazungumzo na mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mh. Nick Simon John @nikkwapili pamoja na Katibu tawala (DAS) wa wilaya ya Kibaha juu ya maendeleo ya mradi wa uwezo katika wilaya hiyo.
@karimjeefoundation @segalfoundation @tvetanzania
#uwezoprogram
Earlier today, we had a fruitful meeting with the Executive Secretary of the National Arts Council (BASATA) Dr Kedmon Mapana , as we discussed possible areas for collaboration in our upcoming event of UWEZO FESTIVAL, scheduled to happen on 9/11/2024 at Kijitonyama Grounds.