Brotherhood imetuokoa watu wengi sana.
Sometimes unahitaji maneno mawili matatu kutoka kwa mtu ambaye hakuhumu, anaelewa maisha kwa mtoto wa kiume kuna muda yanavuruga sana.
Kiwango kimoja cha kumtegemea Mwenyezi Mungu ni kumuomba Yeye pekee kwa kila hitaji letu. Kiwango cha juu zaidi ni kumwachia kila jambo, ukiwa na yakini kwamba kwa hekima Yake isiyo na mipaka, Atakupa kilicho bora zaidi, kwa wakati na namna Anayoiona kuwa sahihi. 🤲
Eeh Mwenyezi Mungu, Naomba neema yako iniongoze leo.
Nipe nguvu ninapokuwa dhaifu, hekima ninapofanya maamuzi, kibali katika kazi ya mikono yangu, na moyo wa kubaki mwaminifu kwako.
Nifundishe kutegemea neema yako kuliko uwezo wangu.
Katika jina la Yesu Kristo, Amina.🙏🏼
Usisubiri mpaka uwe mkamilifu ili uanze kuishi kusudi lako.
Anza na maarifa uliyonayo, rasilimali ulizonazo, na nafasi uliyopewa leo. Uzoefu, ukuaji na mafanikio huja wakati wa safari, si kabla ya safari kuanza.🙏🏼🤛🏼
@ThatBoyKhalifax Nimoja wapo ya utambuzi wa aina ya viogozi tulio nao. Uwezo wao mdogo wa fikira usio na matamanio chanya juu ya mwenendo wa taifa. Vyeo vya vivuli visivyo na mamuzi wala maono. Tupo katika giza nene sana @ThatBoyKhalifax
Madogo wakitoka kulala uwa kuna ka nusu saa flani hivi ya Utulivu, unaweza kusema watoto si ndio hawa, kumbe wana update mafile.
Badae wanageuka Maninja, Ma Spiders 🤣🙌🏼
Modern wars cannot be fought without advanced technology, and advanced technology runs on rare minerals.
Behind the scenes of conflicts like the Iran war, lies another conflict: this is the new Cold War, and at its center are the mines of Congo developed by Dan Gertler.
Mithali 10:4-5
“Mtu afanyaye kazi kwa mkono mlegevu huwa maskini; lakini mkono wa wenye bidii hutajirisha. Akusanyaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye busara; lakini alalaye wakati wa mavuno humletea aibu.”
Mithali 13:11-12
“Mali iliyopatikana upesi itapungua; bali yeye aikusanyaye kidogo kidogo ataizidisha. Tumaini lililocheleweshwa huufanya moyo kuwa mgonjwa; lakini haja itimizwayo ni mti wa uzima.”
Umecheleweshwa, umekatishwa tamaa, umekataliwa, umenyimwa fursa lakini kamwe usiache kuamini na usipoteze Matumaini. Hata katika kipindi cha kusubiri, MUNGU anaendelea kufanya kazi. Kile ambacho MUNGU ameahidi, hakika atakitimiza. Furaha yako iko karibu kuliko unavyofikiri.