Wakazi wa Mkoani Morogoro na Dar es salaam, Tanzania nipo hapa kukuhabarisha wewe mwenye uhitaji wa maendeleo katika Mwaka huu, muda ni sasa anza leo, unachotakiwa kufanya ni kunipigia simu, NYUMBA/KIWANJA/SHAMBA iwe kununua au kupangisha/kodisha niambie hitaji lako leo. Rt📌
@kengemgane Sasa yeye aimbe sana na Marioo aimbe sana n lini wasanii wadogo nao watapewa sifa wawe wakubwa anachofanya kwa sasa naona kaamua kutulia na kula hela zake tu, show za wasafi ni Promo za Radio na Biashara zake hafanyi kwa Njaa, angalia show ya mwisho wa Mwaka kiingilio ilikuwaje🤔