Hi Watanzania, kwa sasa niko busy mnooo na jambo la msingi, very soon mtajua nilikuwa busy na kitu gani.
So kwa sasa I’m not focused kwa kudai haki huku kwenye social media, nipo busy napambana kiundani zaidi..:.:
Soon wote mtajua what was keeping me busy. And it will be great news to Tanzanians, GOD WILLING.
@RepNancyMace You forgot history!!! Even you, You don't have audacity to talk like that because the owners of America are Red indies so think twice!!!!
‼️ALERT‼️
Hii ni picha ya CCTV ikionyesha Watekaji wakiwa Getini kwa Mhe. @HecheJohn
Nduli Idd Amin Mama na vibaraka wake wanahangaika sana, wamemfunga Mhe. Lissu kwa kesi ya mchongo sasa hivi wanamuwinda Mhe. Heche.
Ikumbukwe wiki kadhaa zilizopita watu wasiojulikana walimuua kwa sumu Dereva wa Mhe. Heche, Mzee Suez Daniel Maradufu.
@tanpol Script yenu na Bosi wenu imekaa vibaya!!!!!! Mmebambika watu kesi ili watokeee mahakamani!!!! Siooo? Hapo hakuna kitu mnasolve yaani ni kama mna zima moto kwa petrol ok!! Let us see where we are going
US has asked Iran to hand over its long-range missiles. 🚀
IRGC is currently preparing to deliver some of these missiles to US bases and the rest to Israel.