Dear Ladies || Zingatia about Sex๐๏ธ.
- Usimpe Penzi ๐ mwanaume limbukeni ambaye hata baada ya kuila hawezi kusema Asante ๐๏ธ๐
- Hakikisha mwanaume anayekuja kuigusa hiyo Mali ๐ yako anajivunia, aheshimu yeye kupewa nafasi ya kuila hiyo kitu ๐๐
- Hawezi hata kuibusu ๐ฅฐ๐
- Hawezi hata kukupa nafasi ya kulala kifuani pake usikie mapigo yake ya Moyo na uongee Raha uliyoipata ๐
- Mpe mwanaume ambaye atakapokushika viuno vyako atakupa thamani, ambaye ataheshimu uamuzi wako wa kuwa uchi mbele yake.
Itunze na ipe thamani Mali yako ๐
Retweet ๐
๐จ Follow @mtia_moyo for more sexual tips.
Good morning wapendwa ๐
Nakushukru Ee Mungu wangu kwa ulinzi wako wa usiku kucha umetulinda mimi na familia yangu na ndugu zang naomba uwape maisha marefu wazazi wangu na ubariki kazi za mikono yao na uyalinde mauhusiono yangu yazae matunda ๐
Type Amina halafu kisha amka ๐