Uzuri wa maisha kuna kipengele kinaitwa muda, wakati wako ukifika, kuna vitu wengine walitumia miaka 4 kuvifikia, ila wewe utatumia mwaka mmoja.
Never count yourself late.
“Ilipotoke penalty, sikuwaza kama nitapiga sababu wapigaji walikuwepo ila ghafla nikaitwa na Chama kisha akasema utapiga hii ila hakikisha hakuna mchezaji wa yanga atakayegusa huo mpira ndiomaana hata Diara alivyonisogelea sikuogopa ila nilikua najua nini chakufanya”
Mwalimu
katika Mtaala mpya Ulioboreshwa kuna somo la Business study ambalo ni lazima mwanafunzi alisome kuanzia kidato cha kwanza, lengo ni kumuandaa mtoto mapema na Ulimwengu wa Biashara na Ujasiriamali
Hivi kwanini kwenye mtaala wetu WA elimu hakuna kujifunza biashara na pesa kuanzia awali?
Kwanini hatufundishwi na vitabu vya wafanyabiashara wakubwa waliofanikiwa kama Moo Dewji, Mengi nk?
Vivyo vivyo wakulima, wachimba madini, wafugaji nk?
@Psiteshio1 History ktk mtaala mpya ulioboreshwa ni somo la option kuanzia kidato cha kwanza, kumbuka combinations nyingi za Arts zinamtaka mtoto asome History.