Mida ya kumlilia Mungu wenu imakaribia, please pray for your house, your business, your relationship, your family na kila kitu. Tumezungukwa na watu bladfaken bila Mungu huwezi toboa.
Good thing ya kuanzisha familia yako, hatakama dunia nje itakuchukulia kawaida ila love na heshima utakayopewa ukirudi home itakufanya usahau kila kitu.
Jitahidi kuwekeza zaidi kwa familia yako kuliko chochote!๐
Kuna a bible verse nimeisahau, watu walimuomba Mungu apigane vita yao, nae aliwajibu, nendeni mkam face adui nami nitawapa nguvu ya kumshinda.
Mungu anataka akukute kwenye mchakato sio umekaa kaa tu kama mbuzi.
Tafuta marafiki wazuri wanaojua kusikiliza na uwaweke karibu. Wakati mwingine tunapitia mengi, hivyo kushirikisha wengine huwa ni jambo la afya. Usibebe kila kitu peke yako, maana unaweza kufa mapema. Kushirikisha ni kujali, sote tunahitaji upendo.
๐จEdo kuhusu beki bora nchi hadi sasa ligi kuu :
โNadhani beki wa Simba Ismail Toure Ndio beki bora akuna anayeweza kumuweka benchi timu yoyote ya ligi kuu mkitoa uswahili wetu.โ
Na unapoomba usiku wa leo, omba ๐๐ฆ๐๐ง๐ข ๐ข๐ง๐๐ฒ๐จ๐ญ๐ข๐ซ๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ kama mto.
Mwambie Mungu ๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ณ๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ค๐๐ฅ๐๐ฅ๐ akilini mwako. Mwambie ๐๐ค๐ฎ๐ฉ๐ ๐๐ฆ๐๐ง๐ข katikati ya machafuko.
Unastahili maisha ya amani!
Siku nyingine tena ya kunyenyekea mbele za bwana, himiza hata watoto wako tu waende kanisani na baraka zitajaa malangoni mwa familia yako
Good morning family ๐
Asubuhi na mapema nakukaribia
kukushukuru, ee Bwana,
kwa uzima wangu.
Uliyenipa usiku kulala ni mzima,
nakuomba sasa, Mungu
unilinde mchana.
Nilinde majaribuni
kwani sina nguvu,
hivi leo maovuni
uwe ngao yangu!
๐จ๐ข| Josรฉ Mourinho on the Somali Referee Drama and the 2026 World Cup:
โItโs not about UEFA appointing the Somali referee for the Super Cup between PSG and Aston Villa,โ Mourinho reportedly argued. โWe need to blame FIFA for all this drama. Why take a precious tournament to a country thatโs not traditionally known for football passion in the same way, and then have all these issues with people getting denied entry? This must be shaping up to be one of the most chaotic and boring World Cups ever.
not just about welcoming him back home as a hero or finding him another stage. Things have to be done properly next time-proper planning, better coordination with hosts on visas and security-or the World Cup will start losing its credibility. Footballโs biggest event canโt keep getting dragged into these avoidable messes.โ
Ukianza kuandaa somo lako wala usiwe na haraka hata kama ni series ya mwaka mzima. Kaa sana katika maombi utashangaa Roho Mtakatifu anakwambia wapi uanzie na wapi uishie, kila mzizi wa andiko unaohusiana na somo lako atakupa. Dumu katika maombi, maombi ni majibu ya maswalo yote.
Nikionaga Coach yoyote huwa anamuwelekeza Messi cha kufanya uwanjani najuaga tu anataka attention ya Camera huyu mbuzi yeye ni wa kumwambia ingia tu fanya unachojisikia ๐๐
๐จ ๐๐๐๐๐๐๐๐: Kenya Police FC ๐ฐ๐ช imeanza mazungumzo na Mshambuliaji Taddeus Nkeng (26) ๐จ๐ฒ ili kupata saini yake kwa msimu ujao wa 2026-27 akichukua nafasi ya Yves Koutiama ๐ง๐ซ anayetaka kwenda Young Africans ๐น๐ฟ
Nkeng yupo kwenye radar za Simba SC ๐น๐ฟ na Gor Mahia ๐ฐ๐ช. ๐ค๐