Makarani wa sensa wamenifuata DM na kunijulisha kuwa wanalipwa elfu 40 badala ya laki 1 waliyoahidiwa. Na katika hiyo elfu 40 usafiri na bando la internet ni juu ya karani. Hivyo basi makarani wote nchi nzima kwa Siku 7 watalipwa billion 25.2. Bado nauliza bilion 600+ zinafikaje?
Simba wanahitaji mbwa mwitu namba 9 (FOX) kwenye box,mwenye uwezo wa kugeuza clear chances na Half Chances kuwa magoli.
Kama wanahitaji kufika mbali msimu huu wanatakiwa kutoa hiyo milion 200-400 kumsajili Cesar Manzoki
Leo niseme kitu kingine tena kidogo. Nilipewa heshima ya dhamana ya kuwa Waziri kwenye serikali yetu, niwaambie tu kuwa nilijitoa mno, nilifanya kazi kubwa, nzuri na iliyoacha alama kubwa na itakayodumu na kufaidisha vizazi na vizazi, hayo hayatoonekana! Mapungufu huonekana zaidi
2/2- Hii imekuwa mara ya kwanza Simba kuwa na mwendelezo mzuri katika miaka 86 ya historia yetu. Hakuna kurudi nyuma, tunatakiwa kufanya mabadiliko katika maeneo ambayo tuna madhaifu na kwenda mbele. Mapambano yanaendelea!
Haya sasa leo nimesema, Nipo tayari kwa matusi na kejeli. Karibuni! Niwaonye tu kuwa mimi ni mwanasiasa mwenye ngozi ngumu na roho 9 na nilikulia zama za kuhoji na nimewahi kuhoji kwa nguvu kweli kweli. Kama una hoja jibu kwanza hayo maswali, kama hauna twende disko CASK! #HK
Mmeniuliza kuhusu Halima Mdee na wenzake, hapa sio pahala pake. Nani yupo sahihi kati yao na chama, hilo ni suala lao la ndani. Lakini ukweli usemwe. Wao ni kielelezo cha mafanikio ya wanawake kwenye mapambano ya kisiasa. Wakibisha hodi, tutawapokea- Ado Shaibu
Ndugu zetu katika tasnia ya habari @darmpya_ wanapitia wakati mgumu sana, na sote tunajionea,
Haya ni matokeo ya taifa kuongozwa kiholela, tunahitaji #KatibaMpya
"Nilisikia Mh. Rais anasema kuwa Katiba Mpya isubiri Sana Hadi siku za mbeleni, na nikaambiwa kuwa TLS imeridhia, nikauliza na kuambiwa hakuna kikao chochote kilicho kaa Cha TLS kuridhia kuwa Katiba Mpya isubiri Hadi siku za mbeleni"- @haroldsung_#SungusiaForTLS
Alitangaza kuwa anatishiwa kuuliwa akaweka wazi ili Watanzania wajue akawataja na picha zao tukaona bado wakaamua wateke
Hili agizo litakuwa limetoka juu
Aachiwe huru #Madeleka
@depedrodeniss βEat more fruit!β the slogans say,
β More fish, more beef, more bread!β
But Iβm on Unemployment pay
My third year now, and wed.
And so I wonder when Iβll see
The slogan when I pass,
The only one that would suit me, -
β Eat More Bloody Grass!β