@Ngiripori@millardayo Sasa hiyo ya tengeru ni njia 8 ?, huwa kuna barabara za kasi ambazo zinalipiwa ukiwa unaharaka, na ndizo hizo anasema Mh. Waziri P. Makonda
@SimbaSCTanzania Mimi ni mwana Simba ila Naona Eng. Hersi amewazidi sana hao genge la wahuni, alafu mwisho wa msimu holaaa, tunaitisha tena kikao kingine cha kudanganya wana Simba, Wana Simba sasa hivi tuache upole kiongozi akizungua tunajikusanya tumfuate nyumbani kwake
@agmwasanga Pole sana. Sasa tufanye mpango wa ndoa, maana Mungu amekupa nafasi nyingine muhimu... mahitaji makuu ndio hayo uliyoyataja wakati ukiwa kwenye kipindi kigumu, Mungu akupe kheri na akuongoze vyema kwenye maisha yako ya kila siku