@HildaNewton21 Endapo maandamano yatakuwepo kweli siku hiyo na yakafanyika wether peaceful au offensively lazima niitafute ile video Lema anawaambia CCM bungeni kwamba iko siku watu wataitaka nchi yao bila ushawishi wa kiongozi yeyote hata wa CHADEMA na ikifika huko itakua too late kwao.