@tagatojtagato@Eggle_Vuvu@Chugganation Weka ushabiki pembeni mpira umechezwa nidhamu hali ya juu full time njano mbili na zilipaswa kuwa hivo kulingani na pressure ya mechi yenyewe acha ushabiki maandazi bro
@SportsarenatzTz Lakini sasa shida inakuwa kwa mchezaji coz wanakuwa kama wanambania riziki yake kama wao waligomewa basi wahakikishe mchezaji anakuwa na uhakika wa namba sio katika mechi ndogo tu ndo wamchezeshe