Nawapa moyo Vijana wenzangu wote tunaopambania mkate wetu kwenye haya maisha, naelewa ugumu tunaopitia, mateso na manyanyaso ila tusiache kukaza na Mungu anaona.
Nimefurahi kuona kozi za shahada ya kwanza za Wataalamu wa Huduma za Utengamao (Rehabilitative services)
1. Physiotherapy
2. Occupational Therapy
3. Audiology and Speech Language.
Tuna uhaba wa wataalam hawa ktk nchi yetu. Hakika uwepo wao unakwenda kuwezesha watu wenye ulemavu hususani watoto kuishi maisha bora zaidi. Bravo @muhimbiliuniver . Niwatie moyo wenye sifa za kusoma kozi hii kuomba. Serikali kupitia @wizara_afyatz itatoa kipaumbele cha ajira kwa wataalam hawa. #MtuNiAfya
Mwenye nchi teleza kiulainii ukiwa na Simba TemboCard🔴⚪️
Kupitia kadi hii utaweza kufanya malipo yote ikiwemo mchango wa uanachama moja kwa moja kutoka kwenye akaunti yako, POS machine, kutoa hela kwenye ATM, au hata kutoa pesa kwa Wakala kwa kutumia Simba TemboCard 💳
Vimba tu maana benki 🏦yako inakupatia huduma unayostahili.
#CRDBxSimba
#Tunakusikiliza
#TishanaTemboCard
Tulipokutana tarehe 12 Julai 2023 pale MESUMA HOTEL DAR ES SALAAM, mpigania HAKI za watu, MDUDE NYAGALI aliniambia kwamba HANA ugonjwa wa MOYO wala KISUKARI na kwamba nisiwe na WASIWASI, hawezi “KUJINYONGA” hata siku moja @MariaSTsehai @TitoMagoti
Pres Ruto still vocal on #Sudan crisis despite #Khartoum rejecting him, says no leader has the right to brutally kill and harm civilians, Dismisses claims that #Nairobi is harboring rebel leader Hamdan Dagalo in a Nairobi hospital. No official statement from @ForeignOfficeKE
"Wajibu wangu kama mpinzani ni kuangalia makosa ya CCM, wameshindwa wapi, niwachonganishe na wananchi wawachukie ili wasiwachague waondoke madarakani kwa hiyo halipo zuri wamefanya mimi naona mabaya" Peter Msigwa, Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa pole kwa Familia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Marehemu Bernard Kamilius Membe mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2023
Facebook kinara miongoni mwa mitandao ya kijamii inayotumiwa zaidi Tanzania. Bofya https://t.co/GvqlAExZfv kufahamu zaidi.
Mtandao upi unaongoza kwa matumizi kwenye kifaa chako cha mawasiliano?