#VPL Yanga imetoka nyuma na kusawazisha mabao mawili, ikifanikiwa kupata alama moja dhidi ya Namungo FC.
FT: Yanga 2-2 Namungo FC
Manyama 51' 70'
Molinga 79' 90+5'
Mabaharia wenzangu mnaokata/mliokataa na kutoa mimba za mademu/michepuko yenu Mungu anawaona..hv unafeelaje Ukikumbuka hiyo dhambi ya kuua.. repent repent
#HappyFathersDay2020
Waheshimu baba/mama yako, amri hii ndo amri ya kwanza yenye ahadi, upate heri ukae siku nyingi kwa dunia. NANYI AKINA BABA MSIWACHOKOZE WATOTO WENU, bali waleeni katika adabu na maonyo ya bwana
HAPI FAZAz DEI
Mwalimu Nyerere:Kila nilipotaka kung'atuka waliniambia endelea tu nchi hii changa,umeitoa mbali haitaenda bila wewe mie niliendelea skujua nchi changa wanayoiongelea ni familia zao hazitaendelea bila mie kuwepo madarakan coz hawana uhakika Kama Rais ajae atawaacha ktk nafasi zao.
REKODI
.
Arsenal haijafungwa katika siku ya jumamosi kwa jumamosi 23 zilizopita.
.
Hata Ile Mechi na Manchester City ingepigwa jumamosi basi kungekua na balaa.
.
#M9Updates
@Kanjibai3@AMkulago@HKigwangalla Akiwa bungeni na baraza la mawaziri na akitekeleza majukumu ya kikazi ni Mh Dk HK..ila akijamiana na jamii ni Mpwa Hamis