@JideJaydee Kumbe mawazo ilipikwa na Mika mwamba!! Asee jamaa ni noma salute like beat Kali sana AY alimaliza vizur. Then nyimbo ya understand ftr TID alitengeneza nani Ile beat?? @JideJaydee
@JideJaydee Asee umenikumbusha mwaka 2002 Hadi 2003 nilkuwa primary darasa la nne my father used to buy tape zile Kanda ndo tukawa na hii album. Enzi hizo Rasta za kimasai Zina trend snaa jide!
@eastafricatv Hizi barabara zingejengwa njia 6 pale tunduma boda ningewaona wa maana. Au ubungo to bandarini kurasini. Akili mgando hii nchi na viongozi wake
@Deo18Tarimo Hahahaha njian moja ya kibabe sana hio mbeya via chunya to tabora na singida. Hatari sana hapo lupa tulipasua tairi mara 2 kweny bus la super service 2016. Route moja ya kibabe no lami huko
@ClevanceA77577@ZachariaFilimbi@Adventure_36 Sasa kwanini unamtukana na mwenye gari na mme wake wote wamekufa hapo? Huo usenge unakujaje? Then hio laki na 18 inakuuma nn ni Yako?? Umezingua sana tafakari kabla ya kuandika