Mjomba alipewa onyo akakaidi...
Kipenzi chake kikapambna hadhari kutoa watoto wasiwasi.
Shangazi nae anaenda nje ya mfumo akapewa onyo la mazungumzo likini hakusikia..
Sasa mtoto wa shangazi anazurura kinondoni makabulini ikiwa ni onyo kwa shangazi kwamba aangalie nyendo zake
Yesterday the President of Russia for the first time ever acknowledged the possibility of sending our weapons to the regions that fight against the states who provide arms to the f. Ukraine. (More precisely, use these arms against our country.) In other words, to the forces that are in conflict with the US, and NATO states.
This is a rather significant change of our foreign policy. For their part, the Yankees and their drooling dogs put it that way: we are entitled to provide any kind of weapons to the f. Ukraine (i.e., our country’s enemy), and all the other countries cannot help Russia. That is, we are going to destroy you by any means possible, but nobody dare provide the Russians with weapons/machinery/other materiel to defend our country.
Now, may the United States and its allies experience firsthand the direct use of Russian weapons by the third parties. These persons, or regions have been intentionally left unnamed, but it can be all those who consider the Yankeeland & Co their enemy, regardless of their political outlook and international recognition.
Their enemy is the U.S., and that means, to us they are friends.
Wanawake ni WANAFKI wa kupindukia 😂😂😂😂😂😂😂😂
Imagine unajua mtu ni BFF (best friend forever) wako kumbe pekee na wewe kwake kumbe na yeye na BFF wake 😂😂😂🚮🚮
Video kwa comments👇🏾👇🏾👇🏾
Kimsingi, SIPENDI na SITAKI MAZOEA ya KIJINGA na WAENDESHA MASHITAKA. Leo baada ya PLEA BARGAIN ya BISWALO KUFUTWA na MAHAKAMA, ghafla WAKANIOMBA eti NISISAMBAZE UAMUZI ule TWEETER. Nimesambaza sasa, NIFUNGULIENI KESI YA MAADILI au LETENI tena “NOLLE PROSEQUI”.😂😂
Salaam ndg zangu naomba nitumie nafasi hii kuwapa Taarifa fupi, Msimu 22/23 kama Taifa tulizalisha mahindi zaidi ya Tani 8.1m na mahitaji yetu ni Tani zisizo zidi Tani 6m na kwa muda mrefu Trade patten yetu imekua ni kuelekea Kenya,Congo,Rwanda.
Enyi matajiri na wafanya biashara mnao jitenga na masuala ya haki, demokrasia na utawala bora,jiwekeni ktk kundi la masikini watarajiwa leo. Hali ya uchumi ikiendelea hivi ni dhahiri kwamba mtashindwa kulipa mikopo na hamtaweza kufanya biashara kabisa na sioni uwezo wa serikali ktk kukabiliana na hali hii. Mmejikomba kwa CCM mkifikiri ni usalama kwenu, gharama mtakazolipa kwa kukaa kimya zitakuwa kubwa mno.
Watoto wenu hawatakuta hicho ulichofikiri ni mali na wake zenu watavuliwa mawigi hadharani kama hawatakuwa na vitu vingine vya thamani vya kuporwa.Uchumi wa Nchi hii wote unakwenda kumilikiwa na Wachina kuanzia ngazi zote,kwani hakuna tena sheria na utaratibu unafuatwa dhidi yao.Nchi imekuwa kama Ghetto,chumba kimoja mnalala watu 6 na anayeleta mboga ndiye atakaye lala kitandani.Mark this word Bro.
Hormonal birth control makes you fat, doubles risk of depression & triples risk of suicide.
This is the clear scientific consensus, but very few people seem to know it.
Fahamu na Jifunze Kuhusu Vyanzo vya Vyakula vyenye Vitamini Nyingi na Umuhimu wake katika Kila kiungo na Eneo la Mwili,
Uzi 🧵,
Like & Repost 🔄 Kwa Ajili ya Wengine!
@Mwanangoheranga@MabalaMakengeza NYERERE alifariki 1999 oktoba 14 wakati Jakaya aliingia madarakani kwa uchaguzi wa MWAKA 2005. Unataka kutuaminisha NYERERE alifufuka kuja kumpendelea Jakaya
Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo uwezekano kutangazwa mshindi ukitokea upinzani HAUPO Ukanijibu "UNAJUA
ila hutaki MANYANYASO kuendelea. RIP