Haya mambo wala sio utani. Nimeshuhudia wanawake wakigombania namba yangu. Mwanamke akikupenda kweli hutumii nguvu, atafanya kila linalowezekana kuwa na wewe.
True story wanangu, demu wangu Ali apply kazi TRA. Jana nilimsindikiza kwenye interview, akatoka anashangilia kapita na boss akamwambia Jumapili aende Mbezi Beach kwake kufuata documents ili kesho Jumatatu aanze kazi. Mpaka sasa hivi hajarudi tangu aondoke asubuhi! ๐ฅน๐