@EduTalkTz Angekuwa shekhe watu wange tukana sana na wengesema ameishia la saba ila ukweli ni kwamba uchawa hau usishi elimu ila ni mtu kukosa misimamo binafsi juu ya haki
@AmRosalinee Sio wote wanao chomwa jiulize wewe uue mtu alafu uachwe lazima uadhibiwe kama tunavyoona adhabu za duniani ni jera kwa Mungu ni moto walitenda mema watakula bata