@Kicheche_jr Sehem gani Injili inasema Yesu ni Mwana wa Mungu?Old testament yoyote tafuta...hakuna maneno hayo,achana na akina John,Mathew,Luke...hiyo sio Injili
@Kicheche_jr Muslims hukubali vitabu vyote...huwez kuwa muislam wa kweli kama hujaamini Zaburi,Torati,Injili na Qur'aan...sasa hapo kwenye Biblia ndio pagumu...ukisoma biblia na Qur'aan utaona kwenye Qur'aan pana ukweli na panipashana vitu vingi sana...ila ukisoma Injili na Qur'aan vyote
@Kicheche_jr Injili ilimzungumzia Yesu wapi??Yani Yesu kaja na kitabu alafu kwenye hicho kitabu ajizungumzie yeye?Elewa vizur...biblia ya ambayo inanukuu maneno ya kina Petro,Yohana,Methew na wengineo ndio imeongelea maisha ya Yesu...Yesu alizungumziwa kwnye kitbu klichfta ambch ni Quran