Shule ulikuwa unakula kamasi wenzio wakisikiliza walimu. Ona sasa ujinga wako unakutia aibu wewe na familia yako. Hii nchi sio kampuni, inaongozwa kwa sheria na itabaki hivyo, chuki za udini, ukabila, ukanda, utanganyika whatsoever hazina nafasi. Tanzania ni zaidi ya njaa ya tumbo hilo, fanya kazi
@Oleshangay@SuluhuSamia Hakuna Duniani kote Kabila wenye uwezo na uelewa wa kuishi na Wanyama pori bila Adhari Zozote Mh @SuluhuSamia Toa kauli ya kiongozi Ili #Watanzania waachiwe Maeneo Yao
Naomba leo Mtuambie ukweli kwenye hili swala la Kuchukua Ardhi ya #Wamasai Katika Maeneo ya Ngorongoro,Loliondo,Kia,na Maeneo mengine mengi je Huo ni Utekelezaji wa Ilani ya @ccm_tanzania au ni pendekezo la wahifadhi @SuluhuSamia@KassimMajaliwa_@BungeT
@MwanaHALISI Digital Hawo siyo wana @Ngorongoro ni wahuni waliookotwa na kununuliwa kwa bei ndogo wakijisifia ili waonekane kwa upande fulani na wao Pia kutumia hiyo hamisha hamisha kuwa kitega uchumi
Vijana watatu ambao ni wawakilishi wa jamii za wafugaji wa kimasai kutoka wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro na Ngorongoro โ Arusha, wamepinga madai ya kwamba jamii hiyo inaondolewa kwa nguvu katika makazi yao kama inavyotekelezwa na serikali kwa mujibu wa utaratibu.
Huyu mpotoshwaji aliyenunuliwa na #Ncaa kuchafua wamasai wa #Ngorongoro Anaitwa Ojung'u Orasirasi Saitabau ni Mzaliwa wa Orgilai Arumeru ni Mgombea wa Ubunge 2020 ni Ndg wa Mkiti wa Halmashauri wa Arumeru Magharibi ambaye naye Ojung'u Piniel Saitabau Salekwa @Wtz potezeeni ujinga
Ukisema Tumekimbia #Ngorongoro Kwa Kuliwa na Simba Mbona hamzungumzii waliolazwa Hospitali ya Mhimbili waliotoka Ngorongoro kwa ajali ya ๐๏ธ #Pikipiki Waambieni Watanzania Ukweli na pia Nyumbani haina Mfano tutabaki tu Ngorongoro
#NCAA wako mbioni kuwatafuta wajanja wanaojiita #Wamasai ambao siyo Wamasai hata kidogo huyu anasema anaitwa Ojung' Olesaitabaw ni kwamba ncaa imekuwa ikiwatafuta Watu nje ya Ngorongoro na kuwalipa ili wakimbilie vyombo vya habari kuwachafua Wamasai watanzania potezeeni ni wahuni
Hivi huu ukatili unatoka wapi hawo watu wanaojiita Serikali wana Familia yenye watoto wachanga
Na wanaamua kwenda kwa Familia nyingine na kufunja nyumba zao Ebu wewe kama Uko ktk hilo jifananishe na Mwenzako kama ingekuwa ni wewe Ungejisikiaje @Msemajiwaserikali @SuluhuSamia
Jua limezama, kwa wengine ni muda wa kwenda kwenye nyumba zao,kwa Mzee Mungure hali ni tofauti kwani hana nyumba ila ana mavumbi na mabaki ya matofali ya nyumba yake iliyovunjwa na serikali kwa kuambiwa kwamba yeye ni mvamizi wa KIA, mzee Mungure ameishi hapo kuanzia mwaka 1962
Mahakama ya Rufani ya Tanzania, kwenye KESI hiyo ๐ ilisema, kwenye UKURASA 15-16 kwamba โAMRI ZA MAHAKAMA LAZIMA ZIHESHIMIWE NA ZITEKELEZWEโ. Kamati ya MAADILI ya Mawakili IMEZUIWA ISIENDELEE NA SHUGHULI ZAKE DHIDI YA PETER MADELEKA. Yenyewe KESHO ITAENDELEA. Hii ni DHARAU KUBWA
TAMKO: Serikali Isitishe Mara Moja Operesheni ya Kuwahamisha Kwa Nguvu Wakazi wa Vijiji Jirani na Uwanja wa Ndege Kilimanjaro @NavayaoleNdasko@MariaSTsehai@TunduALissu
Kinachoendelea kwa ndugu zetu Wamaasai wa KIA @SuluhuSamia hayo yanayofanywa na serikali yako ni aibu na fedheha kwa taifa lililo huru kwa nini #Watanzania wanyanyasike namna hii kwa ajili ya Waarabu Mh toe neno tunafanywa wakimbizi katika nchi yetu
Huyu Rais Mzanzibari ni katili Sana anaumiza Jamii hii ya Kimasai Nchi nzima ili Tu waarabu wajomba zake wapore maeneo ya wananchi ! @SuluhuSamia anastahili kupingwa, bandari kawapa waarabu, Ngorongoro na Loliondo waarabu, sasa ni viwanja vya Ndege! Apingwe, Apingwe, Apingwe