@BusesNation Akili ndogo kujadili mtu nabutajiri wake badala ya kujadili share zake anauzaje ili tukanufaike pamoja.badala ya kujadili kodi hizi na hii hali mbaya ya barabara mfuko wa barabara unapesa ya kukarabati.
wanaoitwa mameneja wa mikoa wanatembeaje kujivunia barabara zao.
@munyamambogo Mfuko wa barabafa wala hatujui umeingiza kiasi gani sisi tunafurahia mabasi na njia mbovu.Tuhoji mfuko umepata kiasi gani na kimetumikaje?
CAG na bungeni walishangaa mfuko haujapelekewa fedha hii ni hujuma kwa taifa.
@zoetjesheeftX Tuone Mwaipopo watamfanya nini na JESHI lake lililotawanyika nchi nzima.kama wanaopotea ni wapingaji na wakosoaji wa serikali ambayo yeye anailinda na jeshi lake la watoto wa chui.