@AlubertoJoseph@fadhilis_@moshijnr Kwamba ya baka haijaonekana ila ya Jana licha ya refa kutokuona unalalamika? Sasa una lalamika nini kama refa hakuona.. huoni unakubaliana na manara kuo wenye akili ni wawili
@GoodluckTemu_@abalhisan @Sukayotz Wewe ni takataka.. Kuna mtu amezungumzia kuhusu course hapa? hemu rudi tena soma upya uone kama Kuna mtu amezungumzia kuhusu kusoma au ni wewe unaejifanya mjuaji
@GoodluckTemu_@abalhisan @Sukayotz Wewe ndio unaleta ujuaji. Hapo umeambiwa photographer yupi ni bora ila wewe una zungumzia video.. hemu acha ujuaji na urudi kwenye post uelewe post vizuri