@SuphianJuma Huyu bwana hana hoja kila siku CCM wanatuhumiwa na CAG hajawahi kunyanyua hata taya yake hii leo anajifanya mpenda haki
Mimi namwambia hivi tuliochanga hela ni sisi wananchi sisi ndio tumempa zimsaidie anapopambana na CCM yaani azitumie acha ale baadae atakuja kutupa matumizi ake
@De_Cyola@barakawamb Huyu bwana hana hoja kila siku CCM wanatuhumiwa na CAG hajawahi kunyanyua hata taya yake hii leo anajifanya mpenda haki
Mimi namwambia hivi tuliochanga hela ni sisi wananchi sisi ndio tumempa zimsaidie anapopambana na CCM yaani azitumie acha ale baadae atakuja kutupa matumizi ake