‘BASKET FUND’ YASAIDIA KUPUNGUZA VIFO VYA UZAZI MKOA WA DODOMA
Mkoa wa Dodoma umefanikiwa kupunguza vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua kutokana na uboreshaji mkubwa wa miundombinu ya afya unaofanyika kwenye sekta ya afya
Mikopo ya asilimia 10 Kilimani yaboresha maisha ya wanufaika
Wananchi wa Kata ya Kilimani Halmashauri ya Jiji la Dodoma, waeleza kunufaika na mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri kwa makundi ya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu, ikiwa ni hatua ya kuinua maisha
Bonanza la Michezo latumika kuhamasisha wananchi kuboresha taarifa katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura
Na. Nancy Kivuyo, UHURU
Halmashauri ya Jiji la Dodoma yafanya bonanza la michezo la hamasa kuelekea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura awamu ya pili kwa lengo la
Wananchi wa Jiji la Dodoma waitwa kujitokeza katika zoezi la Uandikishaji
Na. Leah Mabalwe, DODOMA
Afisa Uhamasishaji Uchaguzi Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dickson Kimaro amewataka vijana wote wa Jiji la Dodoma waliofikisha umri kuanzia miaka 18 kujitokeza katika Uandikishaji
Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko aeleza kuwa mfumo wa kielektroniki wa manunuzi ya Umma NeST katika kufanya manunuzi ya vifaa vya serikali ni mfumo rafiki unaorahisisha manunuzi na kuweka taarifa hizo katika hali ya usalama
Mavunde awanufaisha wakazi wa Kata ya Kizota
Na. Asteria Frank, DODOMA
Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Relini, Kata ya Kizota, Lizi Edward amshukuru Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde kwa kuwanufaisha wananchi kupitia miradi ya maendeleo ya elimu kwa kuanzisha
Miaka minne ya Dkt. Samia, Kizota yanufaika mikopo ya asilimia 10
Na. Coletha Charles, KIZOTA
Wananchi wa Kata ya Kizota Halmashauri ya Jiji la Dodoma, waeleza kunufaika na mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri kwa makundi ya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu,
Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imelenga kuboresha mazingira bora ya kufanyia kazi kwa watumishi wa serikali ili waweze kutoa huduma bora kwa wananchi.
Halmashauri ya Jiji la Dodoma ilitenga kiasi cha shilingi 2,431,050,561 kutoka mapato ya ndani kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 kwaajili ya mradi wa ujenzi wa barabara kutoka Hospitali ya Jiji mpaka barabara ya Singida yenye urefu wa kilomita 1.6 kwa kiwango cha lami.
Na. Valeria Adam, MADUKANI
Wananchi wa Kata ya Madukani wamefurahishwa na maboresho ya Zahanati ya Chikande, wakisema kuwa hatua hiyo imeleta ahueni kubwa kwao kwa kuwaondolea adha ya kupata huduma ya kwanza hapo na kisha kwenda Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kufuata
Na. Leah Mabalwe, MTUMBA
Kata ya Mtumba yanufaika na ujenzi wa barabara pamoja na kalavati kwa gharama ya shilingi 73,000,000 kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa usafiri na usafirishaji katika eneo hilo.
Wazazi waanzisha michango kujenga bweni la wasichana Sekondari Chinangali
Wazazi wa wanafunzi wanaosoma Shule ya Sekondari Chinangali wamekubali kuchanga michango kwaajili ya ujenzi wa bweni la wanafunzi hasa wa kike ili kupunguza changamoto ikiwemo ya mimba za utotoni.