JNIA BEST IN AFRICA
Tanzania's Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam has been named Africa's Leading Airport at the 2025 World Travel Awards.
JNIA scooped the award ahead of other renowned airports on the continent. Nominees included:
🇿🇦 Cape Town International Airport
🇰🇪 Jomo Kenyatta International Airport
🇿🇦 O.R. Tambo International Airport
🇹🇿 Julius Nyerere International Airport (WINNER)
AFYA
Nukuu za Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akilivunja Baraza la 10 la Wawakilishi, leo tarehe 23 Juni 2025.
MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN WILAYANI LUDEWA
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) inaendelea Wilayani Ludewa-
Kampeni hii ina dhamira ifuatavyo:
✅Kutoa Elimu ya Masuala ya Kisheria- Ardhi, Madai, Mirathi, Ndoa, Jinai, Haki za Binadamu na Utawala bora na utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala
✅Kutoa huduma ya msaada wa Kisheria kwa Wananchi
✅Kufanya uwakilishi wa wananchi wasio na uwezo Mahakamani
✅Kujengea uwezo mabaraza ya usuluhishi ya Kata
✅Kujengea uwezo Ma-Afisa wa Serikali- Watendaji wa Vijiji, Kata
✅Kutoa Elimu ya Masuala ya Kisheria- Ardhi, Madai, Mirathi, Ndoa, Jinai, Haki za Binadamu na Utawala bora na utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala
Ludewa tunamshukuru Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan; kwa Kampeni hii ya Kitaifa, Wataalam wa Kisheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria wapo Ludewa na sisi Wilaya ya Ludewa tunaendelea na kampeni hii kuhakikisha wananchi wanapata Huduma ya hii- kazi inaendelea Ludewa.
#LudewaYetu #Ludewa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Hamza Hassan ameiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu kujenga daraja kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar ili kutoa urahisi wa usafiri kwa pande zote mbili.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa ,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ, Mh Masoud Ali Mohammed, amewataka Watumishi kuwa ni mfano mzuri katika kufata misingi na kanuni za kiutumishi.
Kila la Kheri vijana wazalendo, waadilifu, wenye nidhamu, utii- weledi na wenye nguvu; sambamba na hamasa ya kupambania Taifa letu.
Hongereni sana vijana sita kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kwa kuaminiwa kwa lengo la kukimbiza Mwenge katika mikoa 31 yenye jumla ya halmashauri 195 za Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa siku 195.
Mwenge wa Uhuru unafanya kazi ya kuhamasisha amani, umoja, upendo na mshikamano wa kitaifa pamoja na kuwahimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo kwenye maeneo yao.
Ujumbe wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu 2024 ni “Kutunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa Endelevu”.
Kila la Kheri Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Comrade Godfrey Mnzava.
Kila la Kheri Vijana Wazalendo katika kazi hii ya Kitaifa.
Ramadan is the month in which the Quran was revealed as a guide for humanity with clear proofs of guidance and the standard ˹to distinguish between right and wrong˺.
Iftar Gala 2024 by Sisters In Imaan at Hyatt Regency.
@SalmaIddy8@SizyaPuya
@JamiiForums Wamiliki wa biashara ambazo najua hata ikitokea wameshindwa kulipa pesa walizochukua naweza kufidia kwenye biashara zao. Changamoto kuu ya mchezo huu ni pale wahusika kuchukua hela na hushindwa kulipa huku wakiwa hawana namna ya kurejesha fedha walizochkua.
@JamiiForums Kulizwa kwenye Mchezo (Upatu ) ni jambo la kawaida kwenye jamii nyingi hasa zile Zisixojadili wahusika na vigezo vyao.
Binafsi, sijawahi kuibiwa kwenye mchezo na vitu vinavonipa hamasa kuendelea kucheza mchezo huu ni kwasababu watu ninaocheza nao ni watu wa karibu na pia ni 👇