“Tabia ya watu kupenda kuchaji simu yako wakati wa usiku au kuacha simu kwenye chaji muda mrefu Kuna madhara Gani yanapatikana ? Je kutaweza kuua Betri LA Simu ?
Kindly Retweet wengi wajifunze 🙏🏽
Shuka nami👇🏽
In case you see “ratio” trending on Twitter and wondering what it means 😃👇🏽
Ni kama tweets za Mzee wa Ufafanuzi
Sisi tunaita kupiga spana
cc @ThabitSenior
Zama Mpya walichapisha video hii inayolalamikia TOZO sasa wizara inayoongozwa na Nape Nnauye imeamuru walipe faini ya Tsh. 2,000,000/=. Watanzania sote tunaopinga dhurma tuungane kuwachangia faini hiyo Zama Mpya. Tuma mchango wako kwa.
M-Pesa 0757884884 DARMPYA MEDIA LIMITED
. @TCRA_Tz nini tatizo katika maneno ya Afande Sele? Uongo? Matusi? Maoni yake siyo habari? Maoni yake ndiyo yamefanya mmewapiga faini ya Sh. 2,000,000 @ZamaMpya_ kosa la nini? huo uhuru wa maoni na habari ni upi mnahubiri? @SuluhuSamia taifa letu siyo la dikteta. Hamuelewi?
#KataaTozo kwa mawazo, maneno na vitendo
👉🏽Tozo zimejificha ktk bidhaa muhimu na huduma na hivyo kuongeza gharama za maisha kila kona!
👉🏽Tozo zinakusanywa na matumizi yake hayako wazi
👉🏽Tozo zitaendelea kuchomekwa kla kukicha
#KataaTozo#Tozonia#katibampya#WenyeNchiWananchi
Mpaka leo hawajapelekwa Mahakamani wale ambao wamebainika kuchota fedha kwenye taasisi za umma na hata huko kwenye Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) na ndio maana makosa yanajirejea kila mwaka
Nimewaeleza kwa UWAZI kabisa Kikosi Kazi cha Rais:
This is not acceptable. It is ILLEGAL and UNCONSTITUTIONAL na it is causing divisions which are ruinous to a UNITED country.
CCM wanauwa UMOJA wetu kwa kutumia NGUVU ya Dola kubagua wananchi