@Wakazi Yaani mtu anashinda tuzo mpaka unajiuliza huyu naye kashindaje? Category zinawekwa ilimradi mshindi apatikane lkn hapo hapo kinashinda kibovu zaidi😥
Mwamuzi wa kati (Ramadan Kayoko) na msaidizi wake namba moja hawakuzitendea haki Sheria 17 za soka.
Kwa Ramadhan Kayoko sio mara ya kwanza lkn kwanini @Tanfootball mmekuwa mnampa mechi zenye pressure achezeshe?
@MossesKirumbiJr@GodoGodo255 Wengi mna taarifa ambayo haipo sawa. Record iwekwe vizuri Abdi Kasim ni Mchezaji Mtanzania wa kwanza kufunga goli uwanja wa Mkapa. Lakini kabla ya hapo mchezaji wa kwanza kufunga ni Ticotico raia wa Msumbiji.
@Sirjeff_D Tunakupotezea tunakuona mshamba unayetaka attention za pande mbili, huna akili ungekuwa una akili usingekuwa una attack angle unayojua kuwa kuna watu utaibua hisia zao ziwe sahihi au sio sahihi.
@KennedyMmari Uchunguzi ni simple tu, wataangalia signature za first seat zote, coz kila mtihani uliofanya lazima u sign then watakuja kuchek na huo wa suplimentary signature ya nani inafana na zile za first seat.
@Roma_Mkatoliki Ni kweli kabisa lkn mm kwa mtazamo wangu ilikuwa idea sio nzuri, ilifikia kipindi Albert anatamba na mikasi wadau wakawa wanasubiri matukio kwa kichupa lkn alivyokuja na kivingine (style ambayo ilikuwa inafanywa unyamwezini) wadau waliiponda video.