Kuna jinsi ambavyo huyu jamaa amejitoa kwa ajili ya Tanzania na Watanzania….
Na ni kweli matatizo yote ya haki tuliyonayo TZ yanatokana na kundi dogo la watu………. Watu milioni 70 tunabagazwa na kuuawa na kundi halizidi watu 100.
TANZANIA 🇹🇿💔💔💔
NDUGU WANANCHI HATUNA MTU MWINGINE WA KUTUSAIDIA ILI MHESHIMIWA TUNDU LISSU ATOKE , AWE FREE, NI SISI JAMANI😭😭💔💔 NGUVU YA UMA NI KUBWA ZAIDI YA HAO WAUAJI UTAWALA WA DAMU. TAFADHALI TUSIACHE KUFANYA KITU, TAFADHALI TUSIKUBALI HUU UONEVU JAMANI. LISSU HANA HATIA JAMANI WANANCHI PLEASE 🙏
#freetundulissu
#justicefortundulissu💪
Hii ngumu kutazama/ kusikiliza,inaleta uchungu na majonzi mengi.
Eee Mola WETU utusaidie na kutuvusha salama maana bado Nchi https://t.co/P7pA2w7wTv walioko madarakani Wana mioyo migumu kama farao.
LINI tutapata,
~KATIBA MPYA?
~MIFUMO HURU YA UCHAGUZI?
~TUTAHESHIMU DEMOKRASIA?
NDUGU WANANCHI,
OCT 29 - NOV 5 .2026
TUNAANDAMANA TENA HADI HAKI IPATIKANE YA BINADAMU NCHINI NA YA NDUGU ZETU MLOWAUA MWAKA JANA.
WE ARE COMING BACK LIKE A FIRE 🔥 SAMIA💪💪.
MMEUA SANA NHIE UTAWALA WA DAMU.
Huyu katumwa apeleke rambirambi Kizimkazi kwa Mhe. Rais yeye kakaidi ameenda kulima parachichi. Huku ni kumkosea heshima Mwenyekiti wake TL. Wanaharakati uchwara walio nje ndio wanampa kiburi. Wanamtafutia ya mboga…
Ukiangalia hizi picha utakubaliana mimi kuwa UTAKUWA ni USALITI mkubwa sana kwa Taifa letu kama tutamsamehe Samia bila KUMUWAJIBISHA
Kwa MAUAJI ya OCTOBER 29 kumchukia huyu mwanamke tupo sahihi 💯
Waliua Dr. Mvungi,Wakadhani wamemaliza;Kumbe badala yake akina mvungi wengi wamezaliwa.
Hata Watishie namna gani moto wa kutaka Mabadiliko ya lazima na muhimu utazidi kuwaka na hakuna wa kuuzima.
Point tulipofikia itawalazimu TANGANYIKA kupata KATIBA MPYA TU; HAKUNA UJANJA TENA
Kaka Lema hapa kuna jambo ambalo halipaswi kupuuzwa, tuhuma dhidi yako hazikuibuka hewani leo.
Zilianza kujengwa kutokana na posts zako mwenyewe hasa ile ya kutoa pole na namna baadhi ya watu walivyoanza kusoma ujumbe, timing na mazingira yaliyokuwa nyuma yake.
Hiyo haimaanishi kwamba post ile ilikuwa ushahidi wa kuuza mechi. ila ina maana tu ndio iliyochochea maswali.
Na hapo ndipo tofauti kati ya questioning, suspicion na accusation inapaswa kuwekwa wazi. Lakini ujumbe wako wa sasa umefanya jambo moja muhimu.
Umeweka kwenye mezani institutional position ya CHADEMA.
Umesema Kamati Kuu haijawahi kujadili ajenda ya maridhiano tangu Oktoba 29, hakuna watu waliowahi kufikisha ombi hilo kwa viongozi wakuu wa chama,
Na umeeleza kwamba msimamo wa kutaka msuluhishi huru wa kimataifa ulitokana na Kamati Ndogo ya Kamati Kuu, yenye wajumbe uliowataja.
Kama haya yanaendana na kumbukumbu rasmi za chama, basi ni hoja nzito sana. Kwa sababu haiwezi kuwa rahisi kumchukua mtu mmoja na kumfanya awe chanzo cha msimamo ambao kwa maelezo yako uliamuliwa institutionally.
Lakini pia kuna upande mwingine wa suala ambao ni muhimu sana. Maswali juu yako binafsi hayakuanzia kwenye resolution ya CHADEMA, ila yalianza baada ya public conduct yako.
Watu walianza kuunganisha dots kutokana na posts zako, hasa ile ya pole, lugha iliyotumika, timing yake na mazingira ya kisiasa yaliyokuwepo wakati huo , napo ndipo suspicion ilipoanza kujengwa.
Na katika intelligence analysis, watu wanapounganisha dots, kazi sio kuwakejeli kwa kuuliza maswali, ila kazi ni kuangalia kama hizo dots kweli zinaunda pattern, au ni coincidence inayolazimishwa kuwa conspiracy.
Na unaposema umebadilishwa kuwa mhusika kwa uongo ni jambo moja, lakini kusema hakuna sababu yoyote iliyoweza kuwafanya watu waanze kuuliza maswali ni jambo jingine.
Kwa sababu ile post ya pole ilizua signal na sio proof, lakini kumbuka signal inaweza kuzalisha suspicion bila kuwa evidence ya guilt.
Na maelezo yako kuhusu familia yako yanaweka timeline ya familia wazi kabisa walifika 28/7 na wakaondoka 3/9.
Lakini kwa usahihi wa upande wa kivuli, hiyo bado haijibu moja kwa moja kila swali kuhusu wewe mwenyewe. Na ndiyo maana allegation hiyo inahitaji evidence yake, na sio inference.
Lema, usiruhusu episode ya leo ifute legacy ya miaka mingi. Umejenga jina lako kwa misimamo, gharama na uaminifu wa watu.
Kama hakuna jambo nyuma ya pazia, acha ukweli na matendo yako vijibu. Kama lipo, eleza kwa uaminifu.
Usifanye uamuzi wa leo ambao kesho utakulazimisha kujitetea dhidi ya historia yako mwenyewe. Legacy hujengwa kwa miaka, lakini inaweza kuvunjwa na uamuzi mmoja.
VIDEO:
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini ambaye ni Katibu Mkuu wa @ACTwazalendo Ado Shaibu Ado @AdoShaibu amemtaja Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Tundu Lissu kama Nelson Mandela wa Tanzania na mtu muhimu kuelekea kuanza na kukamilika kwa mchakato wa maridhiano.
Ado amesema hayo leo Septemba 7, katika Mkutano wa Kitaifa wa Wadau Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini kutafakari hali ya kisiasa uliofanyika Serena Hotel Jijini Dar es Salaam
Amesema ni muhimu wakati mchakato huo unaanza Lissu awe ameshaachiwa ili kushiriki katika mchakato huo.
Narudia hatuwezi kupuuza taarifa yoyote kuhusu jaribio la kumwua Lissu
Mwaka 2017 alisema anafuatwa na wanataka kumdhuru - watu wengine wakajua anatafuta kiki - the rest is history!
#FreeTunduLissuNow