@HildaNewton21@HecheJohn@king_kinya Mnahangaika sana nyie manyumbu aka wazee wa ufipa...act ni chama kinachojitegemea.. maamuz wafanye act then chadema aka manyumbu muumie daaa...sasa 2025 kama hakuna katiba mpya na tume huru basi acheni kuingia kweny uchguz tuone...lisu juz tu alikua anaomba kuwepo maridhiano ..
@HildaNewton21 Kwa mm naona ccm inawatesa sana wapinzan na wanaharakati....maana kila siku laziwa waiongelee ccm tu....lkn ccm haina time nao....ccm imekaa vichwan mwao...hii inadhihirisha ccm ni kubwa kuliko chama chochote bongo...lkn polen wapinzan na wanaharakati wooote
@MariaSTsehai@raymgeni Hv umesoma vzr ww mwanamke huyo mwanasheria wa trump aanchoongea....kataja tanzania kama mfano wa nchi zenye demokrasia bas ..kumbe huwa hamsomi mnakurupuka kucomment tu kisa kichwa cha habaru kiseme hvyo @MariaSTsehai