@SaidiNguyu11@kigogo2014@mdudenyagali Unaishiwa point za msingi unaanza ongelea mwandiko, 🤣🤣 kama na wewe ni mpuuzi kama huyu mzee wako basi jitasmini.kwahiyo Wewe uloandika DARASA badala ya DALASA ndio msomi wa chuo kikuu ety🤣🤣🤣
@SaidiNguyu11@kigogo2014@mdudenyagali Sio wao ni Mungu kwa hakuna wazee ambao hawana watoto? Ujinga ujinga tu shenz type. Watu wanaongea maupuuzi tuwaache ety kisa bila wao kwani wao bila wazazi wao je kama vipi tuwatafute waloanzisha hizi koo yule wakwanza kabisa ndio tuseme bila yeye
@goligani@HKigwangalla Bora angesema mimi na familia yangu kwenye mabano (sisi) kuliko kutujumuisha kipumbavu hivi kenge saana huyo c mlisema uchumi wa kati na serikali ya viwanda hawa, saivi sijui uchumi nyenyenyeeee...
@kigogo2014 Bagaile hanaga akili kwani ni ilani ipi ilomruhusu MEKO kununua mandege na kujenga kiwanja chato, toka lini nyie CCM mkafuata ilani ya chama chenu? Tuachieni ujinga ujinga huu mchakato lazima utekelezwe, hata kwa ngumi huyu @HKigwangalla anakuaga na mambo ya kijingajinga tu