@fatma_karume Let me know dada Fatty, ametenguliwa kwa sababu kasema au kwa sababu aliyoshiriki kufanya? Kama ni sababu ya kwanza ina maana alioshirikiana nao wanalindwa? Kama ni sababu ya pili ina maana alioshirikiana nao na waliofanya itachunguzwa wawajibike?
@CloudsMediaLive Hata chato mzunguko wa hela ulikua mkubwa sana kipindi cha Pombe. Hata nyumba za wageni hazikutosha na uwanja wa ndege ulikua bize. Rais mseven aliwahi kutua pale ila kwa sasa sidhani kama kuna uwezekano wa rais mwingine kutoka nje akautumia tena
@rollymsouth@mwigulunchemba1 Kuna Kodi ya bango, na ile 10% ya pango. Mfanya biashara analazimishwa kumkata Kodi mwenye nyumba kwa niaba ya tra bila kuwezeshwa kufanya hiyo kazi. Hana kitengo cha elimu kwa mlipa Kodi Wala mamlaka ya kuisimamia hiyo sheria ila adhabu zote juu yake
@rollymsouth Point ni zile zile, maelezo ndo tofaut. Yaan lack of capital, poor government policy, political instability, corruption, poor education system, etc