@CoolestDudeOnX Unaijua sifa ya chini kielimu ili kuwa mbunge atakaepitisha bajet na kiasi cha kumlipa profesa? Je, ili uitwe profesa unajua kielimu unakua kiwango kipi?
@francismtey @ ukimfumania mke wako na mwanaume ndani kwako, litaishaje ikiwa una mamlaka yote? Pengine ukijibu hili nitakuelewa ulicho andika kuhusu huyo shetani