Nimesoma Private nikasoma Kayumba, NIWATOE HOFU KWAMBA hata kama una hela nyingi kiasi gani, usilipe Ada inayozidi 1m kwenye shule za Nchi hii, Kama una hela nyingi kwanini Usipeleke watoto Nje ya Nchi, Bro hakuna utofauti wa Syllabus kati ya Private na Gavo School, utofauti ni kwamba Private wanamaliza Topic mapema, vingereza vingi na kufaulu kwa Urahisi, But Zero Skills, No Technology
EWE MZAZI USICHOME HELA ZAKO π
SIKIA MAMBO YASIWE MENGI
- Kama una mahusiano huyaeleweki
- Kama una madeni kila kona, kama unahisi kuna plan mbaya juu yako na unataka kuijua
CHEZA NA HIZI CODE HAPA.
π§΅FUNGUA UZI MFUPI ‡οΈ