Tunafuga vikos vingi vya kininja
Mbwa na majesh na walinz kujilinda
Mwanzo niliogopa simba
Sasa nafunga mlango maana hata binadamu ananiwinda
Nimekubuhu nimekinai maudh
Naona mstar mwembaba kati ya uhai na maut
Sikuchagua hasira au kinyongo kunishika
Nikalambisha udongo watu sita
Nikki Mbishi perform live "Ney wa Mitego" 🎶 (diss track) song at ASIEHUSIKA NA SHOW ASHUKE was held at Maisha Club 2013
Cc: @karamamasoud ( Nabii Coco) 🧐