Umesoma FEZA mdogo wangu, ni vigumu kuelewa kwa nini watu wengi wanafeli mitihani ya NECTA wakati wewe unaiona ni mirahisi kabisa.
Hata hivyo nimeipenda hoja yako na nakubaliana nayo kabisa!
@wizara_elimuTz@NectaTz
Je wajua kupitia SWASH competition washindi 5 watajishindia smartphone aina ya @Infinix_Mobile smart HD. Na washiriki Kila siku wanajishindia zawadi za vocha za #vodacom#airtel#tigo etc kulingana na mtandao wa mtumiaji aliyefikia turget ya siku @JohnMbundi @TheophilAvidace
Are you a startup with an innovative tech solution that addresses social problems and respond to #COVID19 in Agriculture, Education, Health and WASH? Apply now for the INTEX innovation challenge to stand a chance for incubation by 9th July 2020 https://t.co/tFalAbRhhr.
Your welcome to be part of this amazing platform that aims to promote #Water sahitation and hygiene especially on this difficcult times of COVID-19 @HDIFtz @UNICEFTanzania
Kuna mambo rahisi ambayo wote tunaweza kufanya ili kujilinda na #COVID19, kama;
💧Kuosha mikono mara kwa mara na maji yenye sabuni
🚫Kuepuka kukaribiana na yeyote mwenye homa ama kukohoa.
💪🏾Kufunga mdomo unapopiga chafya ama kukohoa.
Tazama kwa kina hapa👇🏾
“.@UNICEFTanzania inashirikiana na Serikali katika kukuza Teknolojia ili kuboresha namna ya kujifunza.
Teknolojia sharti ijumuishwe kwenye mifumo ya shule ili kuboresha ufundishaji wa walimu na namna wanafunzi wanavyoweza kujifunza" - Ayoub Kifyulilo, Mtaalamu wa masuala ya Elimu
#InnovationWeek has officially began under the theme #Innovate4Impact. This group of young people are here at the @UNICEFTanzania exhibition stall to to showcase their projects that focus on offering solutions to different challenges girls face in our community.
#BUNIKAWATIJA